Kuoga na mume au mke wako... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuoga na mume au mke wako...

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Akili Unazo!, Jul 22, 2009.

 1. Akili Unazo!

  Akili Unazo! JF-Expert Member

  #1
  Jul 22, 2009
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 2,823
  Likes Received: 2,538
  Trophy Points: 280
  Wakuu nisaidie hivi kuna umuhimu wowote wa kuoga na mke wako?au ni fasheni tu!!!
   
 2. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #2
  Jul 22, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Wewe binafsi unaonaje? Fuata moyo wako wala usijali wengine wanafanya nini.
   
 3. M

  Mfumwa JF-Expert Member

  #3
  Jul 22, 2009
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 1,456
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Upendo ni hata kuswafiana, hujui kuna kusuguana sehemu kama mgongo nk. Hivyo ni vizuri kuzidishiana upendo kila inapowezekana.
   
 4. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #4
  Jul 22, 2009
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,664
  Likes Received: 1,506
  Trophy Points: 280


  Yaani Chaku, why are you asking for the obvious? Kuna raha kama hiyo tena? kusuguana mgongoni ambako hakufikiki, eeh, si ndo kusaidiana kwenyewe kwenye 'shida na raha'.....kwangu mi hiyo ni kawaida kabisa tena rahaaa!

  unless lakini, hali hairuhusu mfano kwenye bafu pass port size!
   
 5. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #5
  Jul 22, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180

  Aaaaaaaaaaaaaaargh!!
  Hakuna kitu kama hiki
  Nilijaribu saaaaana kuwa karibu na Mwandani wangu ili tuoge pamoja.
  Lakini, kadiri alivyozidi kunizowea, mambo yalianza kwenda mrama!
  Shida kubwa ya kuoga na Mwanamke iko kwenye mambo ya nywele!
  Inataka moyo sana kuoga na watu hawa, maana mara utasikia...ooooh unalowesha nywele zangu!!!......uuuuhhh!!! unaniloweshea rasta zangu..!! Wanawake ni wachafu sana, maana atakaa na zile nywele kwa wiki hadi 5 hazijagusa maji, japo wanajidai kupaka sijui ma nini.. sijui makemiko gani.....sijui ndo wanaita ma`enjoface, ..malipstick..mi siyajui!
  Shiiit... tokea siku hiyo mimi sitaki lawama za kishenzi.
  Hakuna sababu yoyote ya kuoga nao, mwache atangulie yeye kisha utafuatia wewe kwa raha zako..
  Aaaahhhhh!!
   
 6. GP

  GP JF-Expert Member

  #6
  Jul 22, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  ........na uswahilini kwenye mabafu ya foleni watawaroga bure, coz hamuwezi kukoga wote halafu katoka hivi hivi wajameni bila hata kudonoana kidogo japo kamoja!!, au nakosea wajameni?
   
 7. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #7
  Jul 22, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Ndugu yangu,
  Huyo wa kwako mchafu hivyo ulimuibua wapi? Maana nijuavyo mimi usafi wa mwanamke ni kila kitu..... huyo anayekaa na minywele michafu wiki hadi sita ana tatizo la ukwasi! Mwezeshe ili awe msafi kama wanawake wengine!
  Unaweza kuomba ushauri tukujuze usafi wa mwanamke unatakiwa vipi.
   
 8. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #8
  Jul 22, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145

  Hee we kweli yamekukifu maenjoface tena kwenye nywele?

  Jamani kwani wako huwa hakuagi kwenda saluni? Saluni huwa wanaosha nywele jamani in case hujui--- i cant imagine ukae na rasta wiki 5 hujaosha !
   
 9. W

  WONDERWOMAN Member

  #9
  Jul 22, 2009
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 79
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  huyo wako mchafu humuwezeshi,wenzako watamuwezesha na wataoga nae,mlanawe umzuieeee,shauriako
   
 10. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #10
  Jul 22, 2009
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,664
  Likes Received: 1,506
  Trophy Points: 280
  Mkuu huyo wa kwako ulimpata wapi? usigeneralise namna hiyo hata walio wasafi hapa watajisikia vibaya.
   
 11. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #11
  Jul 22, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  .... Eheee.......... yangu hii ama?
   
 12. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #12
  Jul 22, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Pakajimmy umechemsha! Omba radhi!
  Si umeona ulivyowagusa vibaya watu hapa jamvini?


  Ama kweli! Mtu anaenda kuibua kitu huko anakojua yeye halafu anakuja hapa kutukanisha wanawake wote!

  Inaelekea hata yeye mwenye hajui anazungumzia nini.Kama hujui usikurupuke kuja kukashifu.Ungeanza na huyohuyo mtu wako umuulize
  " mamaa, mbona huoshi nywele, mbona unajikwatua ilhali u mchafu?" Akimalizana nae, aje hapa jamvini kuomba ushauri wa namna ya kumshauri huyo mwandani wake asiyetaka kuosha nywele.
   
 13. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #13
  Jul 22, 2009
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0

  uwe makini na maneno yako, mengine aibu tupu.
   
 14. GP

  GP JF-Expert Member

  #14
  Jul 22, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135

  wabeijing wamecharuka, mkuu watake radhi bana ili hali ya hewa iwe nzuri mahali hapa.
   
 15. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #15
  Jul 22, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Hehehehe naona jamaa mkono mfupi kuzama mfukoni.
  Huyu wife akinaswa na Lipedeshee utakuja kuomba ushauri hapa mwache free mpe anacho taka.
   
 16. K

  Kyachakiche JF-Expert Member

  #16
  Jul 22, 2009
  Joined: Feb 16, 2009
  Messages: 911
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  He! he! he! te! te! te!, jamani wanawake mkiguswaaa, nafurahia sana mnavyo mkomalia huyu jamaa. Bado TAMWA, TAWLA, UWT,MEWATA,WAWATA... hawajatoa tamko,jamaa hatarudi tena!( jokes)
   
 17. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #17
  Jul 22, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Lakini ukweli unabaki pale pale idadi kubwa ya wanawake ni wachafu sana kwa ndani namtetea jamaa hapo juu huu ni ukweli nani hapa ajitokeze aseme ukweli katoka kusuka Rasta kwa mmasai alafu akaosha kichwa siku hiyo aseme hapa.
   
 18. The Farmer

  The Farmer JF-Expert Member

  #18
  Jul 22, 2009
  Joined: Jan 7, 2009
  Messages: 1,586
  Likes Received: 440
  Trophy Points: 180
  Kwani ni lazima waoshe nywele kwa kutumia maji na sabuni?? kuna spray mbalimbali wanazotumia kusafishia nywele. Fidel80 mbona umekariri namna hiyo??
   
 19. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #19
  Jul 22, 2009
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 476
  Trophy Points: 180
  PakaJimmy
  Hapa umekuwa too general, bora ungesema baadhi ya wanawake mkuu ikiwamo huyo wako. Pia mwanamke mrembo na anayejua mambo ya urembo, halali na vipodozi usoni/mwilini hata kama haogi usiku huo mana ni lazima aoshe uso vizuri kuondoka vipodozi.
  Pia wanawake wengi kila wiki saluni na kuosha nywele ni kati ya shughuli za saluni..

  @Chaku
  Kuoga na mume/mke ina raha yake mana mnapiga stori,utani na kusuguana kwa mgongo wakati huo wa kuoga. binafsi siwezi kusema ni fasheni, ni mapenzi ya watu na wafanyavyo nyumbani mwao.
   
 20. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #20
  Jul 22, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Yeah lakini wengi wao hawana uwezo wa kusafisha kila siku mkuu lazima ukubali. Kipato mkuu Rasta hizo mtu akisuka anakaa nazo mwezi yote hii kwa ajili kipato.
   
Loading...