Hivi wakuu nataka kuuliza. Usawa una wezekana kweli kwenye uhusiano haswa kama ndoa? Is it practical au just a wonderful concept? Ukiangalia kati kila nyaja ya maisha lazima kuna walio juu zaidi...
I had a one night stand with a lady and she got pregnant. I work overseas and have realised that despite all the finacial support I give her, she is not looking forward to developing me or even...
Waheshimiwa sana wanaJF,
Nawauliza hasa wanaume, kwanini usimruhusu mke wako au mpenzi wako wa kike kuwa na simu ya mkononi wakati wewe unayo?
Katika tembeatembea nilikumkuta dada mmoja...
Wandugu wazima? Ninawasalimu kwa hisani ya JF inayotupa uwanja wa kujiexpress mawazo na mafeelings yetu.
Sote tunaelewa kuwa mapenzi yanatofautiana na pia hayana formula ila tu ninaomba kujua...
Friday, August 07, 2009 7:22 AM
Wanigeria wawili mtu na mkewe ambao walikuwa na nia ya kuyaamsha mapenzi yaliyopooza katika ndoa yao na kuamua kufanya mapenzi ndani ya kanisa juu ya 'meza ya...
Mwanaume mmoja nchini Kenya ambaye ni kiongozi wa chama cha siasa cha NEW FORD KENYA amepokea kipigo kikubwa kutoka kwa mkewe hadi akalazwa hospitali.
BAADA YA purukushani kubwa, Bwana Robert...
An Indian farmer has married his dog in a bid to overcome what he believes is a curse caused by him having stoned to death two mating dogs in his rice field, press reports said.
The 34-year-old...
...Neno kuporomoka kwa maadili si neno geni masikioni mwa wengi.
Ndoa nyingi za kisasa zimekuwa zinakumbwa na matatizo kiasi kuhatarisha maisha ya kizazi husika.
Nani alaumiwe?
Ni kosa la...
HELLO JF, mi nimetatizika na hili jambo la ndoa kati ya kimila na serikali hivyo ningependeza kujua maana kwa faida na hasara zipatikanazo katika ndoa hizi ili niwe makini nisije kutengeneza bomu...
Let's talk ‘bout DATING & MARRIAGE: Speed Vs Traditional Dating -Technique & Acceptance
The world is changing at alarming pace, economically, climatically and socially to name but few...
Sijui nianze vipi katika kuulizia lakini heading yenyewe inajieleza ,maana masuali mingine yanakuwa rahisi na wanaotaka kujibu wanakuwa wamishalielewa suali hata kama halijamaliza kuulizwa ,sasa...
Kuna kitu iwa kinanitatiza sana katika haya mahusiano ya mapenzi nacho ni kujua na kutojua.....naamini wengi iwa inawauma sana ukijua mpenzi wako anatoka nje ya ndoa. Je ni bora kuendelea kutojua...
Jamaa fulani ana karibia kuoa. Wenzie wanamshawishi akajirushe kwa mara ya mwisho maana baada ya hapo atakua "mfungwa". Kwa hiyo jamaa anatoka usiku na washikaji zake. Mida ya usiku sana imefika...
Hellow JamiiForum,
what a great site have you been able to design and man.
Its incredibly enjoyable and the best cause really nothing is missing.
Congrates.
A NEW study may help to explain why women who are HIV positive tend to progress to AIDS faster than men, even when the viral load is the same.
Scientists at the Ragon Institute of...
Hi members of Jamii Forum! I hope every body is fine. wiki ijayo tunatazamia kuwa na ugeni mkubwa kutoka WHO, ni Mkurugenzi mkuu, ni mama huyu Magret Chan, ambaye atatembelea Ifakara Health...
sijajua kama mada kama hii imeshawekwa humu au la. kama bado ni hivi, una rafiki yako, naye ana mwenza, mnapokwa nae anakuwa anawasiliana na mahawara zake kwa uhuru sana hata kukutana nao mkiwa...
Hope you all doing well. jamani naomba msaada..am not sure this is the right place for this but will go ahead..niwieni radhi!
I lost my elder sister last year.. mwaka mmoja ulitimia July 20th...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.