Hofu na mashaka...!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hofu na mashaka...!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Kisoda2, Jul 29, 2009.

 1. Kisoda2

  Kisoda2 JF-Expert Member

  #1
  Jul 29, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 1,242
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 160
  kuna binti mmoja kwa jina Lusanji(aka hiyo) kutoka Arusha amekua katika mahusiano ya kimapenzi na kijana kwa muda mrefu sasa.Bahati nzuri wote wamepata nafasi za kwenda kusoma elimu ya juu ila vyuo ni tofauti.Kijana kwakua amekolea kwa Lusanji,amemtaka afnye ile kitu inaitwa kifunga uchumba(Engagement) kabisa kabla ya kwenda masomoni ili kuendelea nakulidumisha penzi la wawili hawa.
  Sasa kazi iko kwa Lusanji.
  Anajiuliza:Je,aingie katika hiyo strong commitment ama la?maana mazingira ya vyuo yanajulikana na hasa ukizingatia kuna aina tofauti ya watu atakao kutana nao mpenzi wake huko aendako ,kwaweza mbadilisha mawazo akajikuta kaachwa kwenye kona kali.

  Je wewe unamshauri nini ?

  Naomba kuwasilisha.
   
 2. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #2
  Jul 29, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Hiyo distance ndiyo itakayopima mapenzi yao. Asikubali kujitia kitanzi. Wapo walioyafanya hayo na wakaishia fedheha na pete kuzitupa baharini.
   
 3. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #3
  Jul 29, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  binti kama kapata UDSM na atakaa Mabibo hostel, namsikitikia ndugu yangu, wachumba wa watu wametafunwa sana pale hadi wengine wanavua pete za uchumba
   
 4. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #4
  Jul 29, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Kimsingi hasimvalishe huyo binti pete ya uchumba asubiri angalau afike mwaka wa mwisho wa masomo yake hapo kidogo anaweza kuwa na uhakika kuwa ni wa kwake.
  Mwambie mshikaji atakuja kulia machozi mdegree kisa demu, Hawa viumbe hawatabiriki bwana utafikiri mwalimu wao mmoja
   
 5. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #5
  Jul 29, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Sipo yaani ulivyoandika utafikiri yeye mchumbiaji hawezi kubadilika..... kha!!
   
 6. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #6
  Jul 29, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...kuvishana pate sio kuoana. Wavishane tu kujipima uwezo wao binafsi wa kulidhibiti pendo.

  Watu wamejifunga pingu za maisha bado 'wanazini' itakuwa hao vyuo tofauti?
   
 7. Shishi

  Shishi JF-Expert Member

  #7
  Jul 29, 2009
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,244
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  hata avishwe pete elfu moja...kama ni wakucheat atafanya tu hizo pete hazitomzuia... kama kwali wamependana an kuamua kuwa pamoja irrespective of the distance....pete isnt necessary. mbona wanacheat wakiwa chuoni kimoja tu?
   
 8. Shishi

  Shishi JF-Expert Member

  #8
  Jul 29, 2009
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,244
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135

  ahahahahah wanatafunwa na meno kikweli nini???? hiyo mabibo siku nitkayokuja dar lazima niipitie kuiona tu!! very famous hapa JF...hivi wengi wenu mmepitia pale nini kutafuta vitafunio???? te te te te
   
 9. Kisoda2

  Kisoda2 JF-Expert Member

  #9
  Jul 29, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 1,242
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 160
  Wakuu hofu ipo kwa dada Lusanji siyo mshikaji.


  hivyo anahofia asije vikwa hilo jipete ikawa ndo jipeeteeeeeeee
   
 10. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #10
  Jul 29, 2009
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,646
  Likes Received: 1,473
  Trophy Points: 280
  Kwani akivaa iyo pete kinamdhuru nini? kwani kama amemkabidhi moyo wake kuna cha zaidi? wala hakuna haja ya yote hayo. waendelee kupendana tu, kama wanadhani kuwa wanapendana, ila kama wana wasi wasi hivyo nina wasi wasi kama they are at all serious. bado wachanga kwenye mambo ya mapenzi, au kuna upande mmoja hauijiamini
   
 11. RealTz77

  RealTz77 JF-Expert Member

  #11
  Jul 29, 2009
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 742
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  duh nyie mkasome mambo ya kupendana mumeyajulia wapi? nenda shika kitabu hadi mupauke, pete mnajua hata bei ya pete?au mnataka muwasumbue watu kuwachangia hata kununua pete?we achaneni kama mnapendana kweli hata bila pete mtaoana tu, but nyie yaelekea mnatamaniana tu!si kutoka moyoni. tofautisha tamaa na kupenda!! bye masomo mema!
   
 12. Gavana

  Gavana JF-Expert Member

  #12
  Jul 29, 2009
  Joined: Jul 19, 2008
  Messages: 17,986
  Likes Received: 1,557
  Trophy Points: 280

  JESUS SAID

  Turn to Matthew 5:27-30

  27 Ye have heard that it was said by them of old time, Thou shalt not commit adultery:

  28 But I say unto you, That whosoever looketh on a woman to lust after her hath committed adultery with her already in his heart.

  29 And if thy right eye offend thee, pluck it out, and cast it from thee: for it is profitable for thee that one of thy members should perish, and not that thy whole body should be cast into hell.

  30 And if thy right hand offend thee, cut it off, and cast it from thee: for it is profitable for thee that one of thy members should perish, and not that thy whole body should be cast into hell.
   
 13. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #13
  Jul 29, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...hii nayo sasa ni 'spidi gavana'! :D
   
 14. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #14
  Jul 29, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Nimepitiwa mpenzi wanawake wanabadilika sana labda kuliko hata wanawake lakini mifano mingi ninayo ya wanawake. Na wanaume wakibadilika huwa hawaachi wachumba zao ila wanakuwa wanagonga tu kimya kimya

  Nina experience moja hii hapa amabyo nilidondokea kwa mtoto wa Kinyamwezi wakati niko chuo
  Unajua ilkuwaje siku moja alikuja rum kwangu block F mabibo kunitembelea, yeye alikuwa anaishi hapo hapo mabibo ila block A, tukapiga story sasa kwa wanaojua block F hakuna watu wengi sana, na rum kwangu nilikuwa na mshikaji mmoja tu ambaye yeye alikuwa ameenda kutembelea ndugu zake, siku hiyo ilikuwa weekend. Baada ya story kunoga msela nikatoa offer ya kwenda kula chakula cha mchana, sio mbali sana ni cafteria tu hapo nyuma then tukarudi tena room kwangu tukaendelea na story. Sasa mimi nilikuwa nimekaa kwenye kiti ye kakaa kitandani kidogo nikafanya kama nimekosea nikaamia pale kitandani, story zikaendelea kidogo nikawa kama nimekosea tena nikamgusa wakati tunapiga story akakaa kimya, nilimgusa paja halafu alikuwa amepiga khanga tu, duh! nikaona demu kakaa kimya kidogo tena katika kupiga story nikamchomekea kuwa nimempenda, duh kumbe ilikuwa kama kusukuma mlevi vile akakataa kizushi zushi pale

  Katika kuendelea kuimbisha huku nagus mara mgongo mara kiuno mara nywele (ugonjwa wangu huo) eeh nikaona hajitingishi, aaah! kijana wa Kimaasai nikazama.....................nikaua tembo kwa ubua

  Unajua baada ya mwezi wakati naatka kutangaza uchumba baadaa ya kunogewa na mambo ya Kinyamwezi ndio naambiwa nina mchumba wangu Nzega, Tabora na NAMPENDA SANA, na siwezi kumwacha wewe utaendelea kuwa na mimi wakati niko chuo labda yule kule nimfanyie visa aniache wewe ndio utanipata kwa ujumla

  NB
  MwanajamiiOne hii ilikuwa long time siku hizi nishakuwa kwahiyo isiwe sababu ya kutofikiria maombi yangu ya kuingia kwenye ufalme wa penzi lako mumy

  Angalizo
  Kwenye masomo nilikuwa nimetulia, haya mengine yalikuwa by the way tu kwahiyo wale wanaJF ambao ni wanafunzi wasiige sana na wakiiga wawe wajanja
   
 15. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #15
  Jul 29, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  ..... Pole Sipo ila nawe kwa nini ukaingia nyumba yawatu bila kuuliza kama kuna wenyewe? Sasa umenasa unaambulia maumivu lol

  Haya mmasai wewe ndo ukamkosa hivyo mnyamwezi ( I hope hukuwa unamwambia--- tulia nini nahasungusa sungusa kiuno? kwani naumia?) si ajabu ndo mana kamganda wa Nzega wanayecheza ngoma moja lol (joke rafiki)
   
 16. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #16
  Jul 29, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Dada Shishi wakati unakuja kuiona mabibo hostel UniPM nikupokee halafu nikakupe orientation, uta-enjoy sana dada

  ila uje ukiwa umeshafunga ndoa na huyo mchumbako, otherwise anaweza kukupoteza hivi hivi na mimi sitaki kuhusika kwenye lawama za kumpotezea mtu kifaa chake
   
 17. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #17
  Jul 29, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...duuuh, pole sana,

  anyway...mwanamke anayejirahisi hivyo eti yu tayari kumfanyia visa mw'ume wake ili umchukue wewe, ni 'bomu' la kutega!
   
 18. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #18
  Jul 29, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Unafikiri wala niliumia sana MJ1
  Nilichofanya nilichukua daftari zangu nikaingia library kuandaa presentation nilyokuwa assigned
   
 19. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #19
  Jul 29, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Mhe. Mbu kweli bomu la kutega
  Ila mimi nilikataa mpango wake huo wa kumfanyia visa mchumbake, nilichohitaji mimi nikuhakikishiwa kupona tu pale ambako nilijisikia kuwa kuna wadudu wadogowdogo wananyevua nyevua, na hilo lilikuwa linatimizwa karibu kila weekend, kwahiyo nikawa small house
   
 20. RealTz77

  RealTz77 JF-Expert Member

  #20
  Jul 29, 2009
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 742
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  pole sana muzeee, ila muzeee haukuwa na demu mwingine hapo mabibo au sio? hope hata condoms hukuwa nazo, au sio?na ulivyokuwa na kiu hata mda wa kufuata nje hukuthubutu au sio? kwani ungekosa mechi bro, ukazama mzimamzima, japo CD yako imeruka hii part ya kukosa kimfuko!duh pole sana ingekuwa HIV anayo from Tabora? duh tafakari
   
Loading...