Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

dada mmoja akitoa maoni huko Tunduru_Ruvuma(uandikaji wa katiba mpya)anasema anapendekeza katika katiba mpya mtu akioa/kuolewa hakuna kuachana. chanzo tbc1 habari
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Waungwana wadau, kwanza ninasikitika kwa kutokuepo mkekani kama ilivyo kawaida yangu kwa takriban siku 4-5 kufuatia kufiwa na Mama mdogo wangu J'2 iliopita na tumemzika jana (R.I.P mama). Wadau...
0 Reactions
41 Replies
3K Views
Kuna Binti hapa kaniacha hoi mie labda na nyie atawashangaza . Huu ni mwaka wa pili sasa yuko kwenye hiyo secret admirer na kaka mmoja. Kila siku binti anategeshea amuone huyu kaka ndo apande...
0 Reactions
158 Replies
14K Views
Mwaka ndo huo unaisha, mapenzi yamekufanyia nini? 1.umeumizwa mara ngapi? 2.Umetumia sh ngapi kuhonga na kuwanunulia zawadi mademu, 3.umetumia sh ngapi kila ulipotoka out na demu sometime...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Mimi ni Mtanzania ambaye nina maisha yangu, maisha ya mapenzi yananichanganya sana kwa sababu kuna wanawake zaidi ya watatu wananikubali sana na kila mmoja ana malengo ya kuwa nami..nifanyaje wana...
0 Reactions
44 Replies
5K Views
When volunteers were shown photos of ex-lovers from a recent break-up while lying inside a functional MRI scanner, their brains showed significant activity in the same regions that become aroused...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Habari zinasema kuna kundi la mabinti wezi wa waume za watu wameomba mchana huu maombi rasmi mungu kushusha mvua kesho ati madaraja yakatike watu walalale lodge nanyi nawapa happynyu yia
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ndugu zangu wa jf, hapo kitambo nilikuwa na girlfriend, mwanzoni mahusiano yetu yalikuwa bomba kabisa na nilitokea kumpenda hasa pale alipofanikiwa kunifanya nisivute sigara,,na kweli baada ya...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Wahenga wanasema ukistaajabu ya Mussa utaona ya Firauni....!!! Rafiki yangu wa karibu sana jana kidogo agongwe na magari baada ya kumfuatilia mke wake kwa umakini zaidi na kugundua kuwa mkewe...
0 Reactions
39 Replies
6K Views
Ilikuwa ni mwaka 1994 wakati nilipoingia kwenye kasheshe kubwa ambayo nusura tu inipeleke jela. Nikiwa ndio nina mwaka wa pili tangu kuanza kazi, nilimpachika binti mmoja mimba. Alikuwa ni binti...
5 Reactions
43 Replies
4K Views
Nawatakia mwaka mpya mwema 2012,kwa wale wenzangu wanaotarajia kuoa mwakani mwezi wa sita kama mimi,nawatakia mapenzi mema kwa wake zenu.nashukuru jf imenisaidia kidogo kudumu na mamsup though...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
kitu nachofahamu mimi kuwa binadamu tunapenda na hali ya kupenda ni hisia zilizo ndani ya moyo,lakini linapokuja suala la upande wa pili wa yule uliyempenda huwa tunaamini naye anakupenda kutokana...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Wanajamvi, Japo huenda ninahitaji kupata fasiri yakinifu ya neno nje ya ndoa na japo waswahili wanasema kitanda hakizai haramu, ningependa kushirikisha hii kadhia ya watoto wanaoitwa...
2 Reactions
52 Replies
7K Views
Jamani Tanzania hali si nzuri hata kidogo. Mpenzi wangu yupo katika wakati mgumu wa kutafuta ajira,jamaa amemuahidi kazi ipo ila awe tayari kumtolea nguo za ndani. Nimemshauri aachane nae na...
0 Reactions
76 Replies
6K Views
Wapo wanaosingizia kila kitu mapenzi ya mungu mpaka jana namuuliza mama didy hivi huyu mungu ana mapenzi mangapi kila mtu akifa kwa kujitakia mapenzi yake kwa bahati mbaya mapenzi yake ...kwa...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Toka naanza kupata ufahamu, moyo umekuwa ukihusishwa na mambo mengi kama nilivyoyaoredhesha hapo juu. Nilipoenda shule katika somo la biologia ni nikajifunza kwamba kazi ya moyo ni ku-pump damu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Tangu tumezaliwa tumesikia neno UPENDO,mimi binafsi wazazi wala shule sikuwahi kuambiwa maana ya hili neno!Nilikuja kulitafuta mwenyewe!Nakumbuka kwenye mafundisho ya dini tulikua tunaambiwa...
1 Reactions
34 Replies
3K Views
have u ever felt empty even within marriage how did you overcome this situation?:sad:
0 Reactions
41 Replies
4K Views
Ni rahisi sana kwa baadhi ya watu kuwatumia wenzao kupata yale wanayotaka bila kujali hisia za wanaowatumia. Unakuta mtu anamwaminisha mwenzake anampenda kweli ,wengine hufikia hata hatua ya...
0 Reactions
43 Replies
3K Views
Back
Top Bottom