Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Dedicated to My husband, and to people in love today... Author: KRISTEN M SACCARDI As I look into the future as far as I can see, I can see nothing except you being with me. You are in all...
7 Reactions
147 Replies
10K Views
Kwa leo wazo letu litasomeka hivi "Kosea mambo yote lakini usikosee Kuoa". Mbaki salama waheshimiwa
1 Reactions
13 Replies
4K Views
kazi ni kwenu kujifunza au kupotezea.
0 Reactions
19 Replies
2K Views
A Malawi newspaper the Nyasa Times is reporting that a man died in the commercial city of Blantyre after engaging “himself beyond the limit of sexual frenzy.” Fletcher Jere died ‘riding’ a...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Jamani mwenzenu na wifi yangu mke wa kaka angu baada ya kuukwaa Ukurugenzi huko Dodoma ameanza nyodo zilizo pitiliza wakati nilimpokea mwenyewe mjini kaja kujiendeleza kimasomo Chuo kikuu na...
2 Reactions
66 Replies
8K Views
Ni miaka miwili imepita bila yamatumaini wazee waliniambia nitafute mke niowe yyt ambae aliekuwa tayari kuishi na mimi bc tuwasiliane kwa cm no:0777 600127 awe Muislam endapo akiwa Mkristo akubali...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wapendwa ni matumaini yangu kuwa mu wazima. Nimewamiss sana. Najiuliza pale unapokuwa mmekubaliana kupendana, halafu mpenzio anapoamua kuitumia sentensi ya .... Unajua nilishaumizwa sana, so...
1 Reactions
42 Replies
4K Views
Habari zenu wana MMU... Siku hazipiti hapa MMU basi itapostiwa thread ikiwa imekaa kimfumo mfumo dume hivi kitu ambacho wenye kuuchukia huwa wanawasha moto vibaya sana hapa... Sasa kwanini...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Juzi nilikwenda mapumziko Tanga baada ya kuchoshwa na shughuli zangu za kikazi za wikii nzima na foleni za hapa Bongo zisizo na tija! Nikiwa TA nilipata wasaa wa kumtembelea kwa mara nyingine...
0 Reactions
68 Replies
6K Views
Habari za asubuhi mabibi na mabwana.poleni na hongereni kwa kazi. Jana nimehudhuria Send Off ya ndugu yangu.sherehe ilipangwa kuanza saa kumi na mbili na nusu jioni .lakini tuli lazimika kuanza...
1 Reactions
38 Replies
4K Views
Kila siku watu wanapendana na wengine kuachana kutokana na sababu mbalimbali...hili suala la "age mates" kupendana lina tatizo jamani?? Maana nimekuwa nikisikia watu wakili-discourage sana,kwamba...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Habari zenu waheshimiwa,nimeamua kumrudisha mke wangu kwao. Sababu kuu ya kufanya uamuzi huu ni kwamba mie ni mtu wa wanawake wengi nje,kula nyumbani ni kwa mbinde kulala nako kwa week naweza...
2 Reactions
143 Replies
13K Views
utafanyaje ukija gundua kuwa jina alilochagu mke wako kumpa mtoto wenu ni jina ya jamaa aliye kuwa boyfrend wake chuo?
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Najua ukikutana na wanawake 10 barabarani kati yao 9 au wote kumi wametengeneza nywele,yaani wameziondoa kwenye uhalisi wake na wanataka zifanane na za wazungu,waarabu wachina n.k,ukiwauliza...
2 Reactions
50 Replies
9K Views
Baada ya kujibu swali la Gaijin kwenye thread ya mzee Mtambuzi https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/196999-ingependeza-kama-wanawake-wakijibu-swali-hili%85%85%85%85%85.html...
6 Reactions
46 Replies
4K Views
Kila mtu atakubaliana nami kwamba ndoa ni sehemu muhimu ya maisha ya mwanadamu. Hili halina shaka ndani yake. Na wengine husema kwamba kama hujaoa au kuolewa, basi siku zote utahisi kuwa kuna kitu...
0 Reactions
18 Replies
5K Views
Welcome to Aisos The world’s first school of practical sex. Though our courses include both history and modern sexual theory, the emphasis is on how to be a better lover. Sexual positions...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Naitwa dick masomoni ddm,natft rafiki wa kike mwenye heshima na mcha mungu.awe na sifa zifuawazo! 1.umri 22-26 2.elimu f4 na kuendelea 3.mkristo 4mweupe/majikunde na asiwe mnene sana.p/se...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Jamani kisa hiki kimemkuta dada mmoja aliyeko ughaibuni, naomba tukisome na kukielewa. Leo yeye, kesho wewe. mimi nilisha wahi kuwa na boyfriend ambaye alinitoa usichana wangu,kweli yule...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Kama kuna wakati mgumu wakati mwingine kwa wanandoa wapya ni kuchelewa kupata mtoto. Wakati mwingine watu wanaamua kwa makusudi kutopata mtoto mara moja huku wakijitahidi kujipanga vizuri. Mgogoro...
2 Reactions
46 Replies
8K Views
Back
Top Bottom