Men fall in love through sex while women fall in... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Men fall in love through sex while women fall in...

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Sipo, Jul 31, 2009.

 1. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #1
  Jul 31, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Men fall in love through sex, women fall in sex through love

  Hii ni signature kwenye profile ya Nyamayao kila nikiisoma huwa napata maswali yafuatayo

  1, Je ni kweli mwanaume anaweza kumbeba tu mwanamke amekutana naye somewhere uko baada ya kupewa mtanange then anajikuta ameanza kumpenda kupita kiasi kuliko alivyomuona kwa umbile lake?

  2, Je hii ndio sababu ya wanawake wengi kutendwa kwenye masuala ya mapenzi kwasababu huamua kuwapa kwanza mtanange wanaume wanaotaka kuingia nao kwenye mahusiano wakiamini kuwa baada ya kuwapa ndio watawapenda?

  3, Je kwa wanaume maumbo au sura, kazi, elimu au pesa siyo ishu kama mwanamke kwenye mtanange atakuwa yuko au hayuko makini kupagawisha huyu mwanaume?

  Tulijadili na hili pia
   
 2. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #2
  Jul 31, 2009
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0

  kwangu mie nadhani wanaume wanatamani kwanza, akiona shape nk, baada ya hapo ndio muingie kiundani zaidi ndio anaweza kuona kama ameridhika au laa na penzi linachipua, baada ya hapo ndio mnafata kuangalia tabia ya mtu kama inalandana, na inaweza iclandane lakini manjonjo yake(mrembo)yakakufanya uwendele kuwa nae japo kuna mapungufu mengi(ile tutarekebishana taratibu)
   
 3. Shishi

  Shishi JF-Expert Member

  #3
  Jul 31, 2009
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,244
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Ulimwengu umedilika sana au ndio unaelekea ukingoni. nasikia siku hizi hakuna cha playing hard to get kwa sababu kuna wale wako ready hata on first date... haya hapo si utakosa mwana na hayo maji ya moto pia?

  women are emotional not physical beings kama wanaume.....
   
 4. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #4
  Jul 31, 2009
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,918
  Likes Received: 2,068
  Trophy Points: 280
  Hii kama ingalikuwa kweli wanaume waliopo kwenye ndoa wasinge cheat kabisa maana 'kila siku anapata' na kadri anavyopata kwa mujibu wa hiyo hypothesis ndivyo mapenzi yanavyoongezeka!
   
 5. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #5
  Jul 31, 2009
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  kuna ma colleague anasemaga wify yupo makini sana na sex lakini anatoka nje kubadili ladha.
   
 6. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #6
  Jul 31, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Hahahaha sasa kama nyumbani hajiexpress na anabaniwa what do you think?
   
 7. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #7
  Jul 31, 2009
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,523
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Ingekuwa hivyo sex workers si wangependwa ile mbaya?

  Mimi naona kufall in love hufuata logic za kihisia kama ifuatavyo.
  1. Kuona - dume huona umbo , sura , yaani external architecture ya demu , halafu anasisimka na kuhisi ni mzuri - anatamani

  2. Kusikia- anapata msukumo wa kumsemesha demu - na ndipo utasikia -eh sauti kama
  malaika
  3. Fantasy- anaanza kumuwaza na kuanza kufigure out ni jinsi gani itakuwa watakapokuwa wote kwenye maviwanja. Anaanza kumsasanua kifikra, na ndipo hisia
  zinazidi kukua , na jinsi anavyochelewa kumpata ndivyo hisia zinazidi kuwa kubwa. Hapo ndipo husema kwa washkaji zake , ee bwanae demu fulani namind kinoma. Hapo ameshamkolea kwenye akili na ubongo wote unakuwa umejaa mapenzi ,na hisia kalli kwa huyo demu -anampenda.

  4. Love making- mwisho watakutana na watafanya mavitus kama demu ameridhia.
  Mind you , sizungumzii habari ya kutongoza , hii ni kitu nyingine kabisa. Kila mtu ana technic yake . Baada ya hapo Kuna mawili. dume anaweza kuendelea na mahusiano iwapo zile fantasy zake zimekuwa kweli. Yaani mvuto wa nje na ndani ya nguo , pamoja na hizo skills za sex yenyewe. Hapa mtu anaweza asirudi tena kama kwa mfano mdogo tu amemkuta demu ana kikasoro hata kidogo tu , mathali nguo ya ndani imekaa kaa au imetoboka tu au kuna kitu chochote kile ambacho hakifanani na kile alichoona mwanzoni anaweza akaboreka vibaya kabisa.Anaweza akangangania kama fantasy zake, zimematch na alichotamani mwanzo. Na hapa ndipo ilipo siri ya ndoa . Kabla alikuwa mzuri, mkweli, msafi, etc.baada ya kuolewa anajisahau na kumfanya dume aone alikosea hesabu. Ndipo dume huanza tena mzunguko kama ilivyokuwa mwanzo , ila kwa kipindi hiki inakuwa ni nyumba ndogo.

  Ni vizuri kufahamu kuwa sex drive haina maana ya kupenda. Na mwanamke kufanya mapenzi na mwanaume mara moja au zaidi haimaanishi anampenda kihivyo bali anaweza akawa amemtamani tu , au mwanamke mwenyewe kamtamani na kuishia kufanya mapenzi. Baada ya hiyo mechi kuna litakalotokea. Aidha dume awe ATM , au wabaki nanaheshimiana kama secrete lovers kwa maana ya sex tu or both or wasikutane tena baada ya issues fulani fulani ikiwa ni pamoja na mmoja kuboreka stiff.

  Kwa mantiki hiyo naona sex inaweza ikawa a major contributing factor for loving, lakini kuna attiributes nyingine ambazo zanaweza kuoveride sex pia.
  Hebu kama wewe ni mwanaume imagine umetoka na demu mzuri kisura , kiumbo, etc lakini ukamkuta amevaa chupi chafu au iliyotoboka au kikwapa etc . Matokeo ni yake yatakuwa nini? Majibu mnayo wenyewe...
   
  Last edited: Jul 31, 2009
 8. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #8
  Jul 31, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  that quote is very true. kuna washkaji zangu kibao wameonja sehemu tne a mbovu tu wakijiaminisha watakimbia, lakini wapi? with time wamekolea na vikao vimeanza!! hahahahaa!!!

  the issue is, kama demu amekupenda, hata kama wewe hujampenda na unataka mtanange tu, then ujue yeye atakupa game ambayo siyo fair game---WHY? kwa sababu yeye ameshakupenda, kwa hiyo anakupa kwa dhati kabisa, refa akiwa yeye na kama ni soccer, tungesema wanacheza 12 against 11. Sasa kwa nini usikamatwe?---sisemi ku-fall in love baada ya kungonoka ni vibaya!!
   
 9. Mtabiri

  Mtabiri Senior Member

  #9
  Jul 31, 2009
  Joined: Jun 23, 2009
  Messages: 152
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Siku hizi mwanaume kupromise kabla ya kumegana inakua ngumu sana. Ndio maana kwanza kale ka mchezo then mengine hufuata (thereafter). Ukienda harusini ndio utagundua,maana mabi-harusi wengi utakuta nguo zinawabana,meaning kwamba wameshapeana mimba ndipo wakafunga ndoa. Kwahiyo inaanza kuwa trendy...
   
 10. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #10
  Jul 31, 2009
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0

  aji eprec huko aje kwangu mkavuuu haaa tuendeleze maisha yetu.
   
 11. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #11
  Jul 31, 2009
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,644
  Likes Received: 1,470
  Trophy Points: 280
  'This is very important'.....(Iddi Amin Style, kwa wale mnaokumbuka ile movie ya raid on entebbe)

  Sio kweli kugeneralise kuwa men wnafall in love through sex....inategemea mambo mengine mengi tu apart from that...
   
 12. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #12
  Jul 31, 2009
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Mi nilivyoelewa mada inazungumzia mwelekeano wa sex na love katika mwanaume na mwanamke, tena katika uhusiano wa mwanzoni kabisa mwa mahusiano ya hawa wawili ("falling in love, falling in sex"). Mada haizungumzii sex bila kuwa na mwelekeo wa upendo (mf. sex na malaya), wala upendo bila kuwa na mwelekeo wa sex.

  Swali ni: kwa mwanaume au mwanamke, katika mahusiano yao ya mwanzo kipi kinatangulia chenzake: ni sex au upendo?
  Mada inasema kuwa kwa mwanaume inatangulia sex na kufuatiwa na upendo. Hii kwangu ni kweli. Wanaume kinachowavuta kwa mwanamke kwanza si upendo bali matamanio kwa kuangalia sura, umbo, nk. Akishampata binti ndipo upendo unapoanza kujengeka taratibu. Ndipo moyo wake unapoguswa. Kabla ya hapo anakuwa ameguswa siyo moyoni (upendo) bali ameguswa na tamaa za mwili za kutaka kupata kile "kizuri".

  Kwa mwanamke katika mwanzo wa mahusiano na mwanaume kinachomvuta kwa mwanamume mpaka aingie kwenye sex siyo mwonekano wa nje wa mwanaume bali ni upendo. Kama mwanamke hajampenda mwanaume hawezi kuingia katika sex (kumbuka hatuongelei malaya). Kwake sex ni tunda la upendo, tunda kujiachia mzima kwa yule ampendaye. Kumbe kati ya sex na love, kwa mwanamke upendo kwanza, halafu sex. kwa mwanaume sex kwanza, halafu upendo.Hii ni kanuni ambayo pia ina exceptions wakati fulani.
   
 13. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #13
  Jul 31, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Men fall in love through passion, women fall in sex through love
   
 14. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #14
  Jul 31, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Ila Shishi wanaume si ndio wana kazi nzito kuliko wanaume? Kwahiyo no way out inabidi kuwa kama ulivyosema tu
   
 15. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #15
  Jul 31, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  dah wanawake wote wangekuwa na moyo kama wewe mfalakano kwenye ndoa isingekuwepo mzee akajisikia hamu ya kujiexpress ruksa kutoka nje kumega.
   
 16. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #16
  Jul 31, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Msome vizuri....unarudi HOME mkavu! mhhhhhh
   
 17. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #17
  Jul 31, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Hehehe unarudi home mkavu maanake ujipuke na kukauka au? Ua hupigi kilaji Masa?
   
 18. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #18
  Jul 31, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Teh teh teh mazee napata sana tu Kilaji.....leo Ijumaa huwa natinga hii Tshirt

  [​IMG]

  ama hii

  [​IMG]
   
 19. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #19
  Jul 31, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Teh te teh Masa leo mimi natafuta kifaa cha kutoka nacho sina compan kabisa sijui nipite wapi leo?
   
 20. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #20
  Jul 31, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Pita Mabibo Hostels kule mzee mzima lazima utaibua kitu....kwi kwi Kwi
   
Loading...