Mapenzi ya dhati | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mapenzi ya dhati

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by MwanajamiiOne, Aug 12, 2009.

 1. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #1
  Aug 12, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Wandugu wazima? Ninawasalimu kwa hisani ya JF inayotupa uwanja wa kujiexpress mawazo na mafeelings yetu.

  Sote tunaelewa kuwa mapenzi yanatofautiana na pia hayana formula ila tu ninaomba kujua ile general content ya mapenzi na mambo ya kumtendea mpenzi wako.

  Wanaume, kina kaka: Ni vitu gani akivifanya wifi (mkeo/girlfriend au demu wako) vinakudhihirishia kuwa anakupenda kwa dhati
  Wanawake/ mawifi/ Shostito: ni vitu gani akikufanyia shem au kaka yangu vinakufanya umuone yeye ndo kila kitu hata aje fataki wa chuma yaani hutamtizama mara mbili.

  Nimeuliza hivi kwa sababu nahisi nitajifunza kutoka kwenu ndugu zangu mengi juu ya mapenzi.
   
 2. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #2
  Aug 12, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Sorry mie ninaanza vile ambavyo ninajua kwangu vinanidhihirishia ninapendwa

  1. Kunijali (kujaliana) yaani ajue nini nijnahitaji na jinsi ya kunitimizia (sexually na hata mahitaji mengine but kikubwa ni kunirespect kama mimi ninavyomrespect
  2. Awe ananionyesha kuwa ananipenda- kwa vitendo si maneno kwani maneno hata kasuku huzungumza!
   
 3. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #3
  Aug 12, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Vp amesha anza kurudi katika line? Kweli JF inatuelimisha jamani.
   
 4. Tangawizi

  Tangawizi JF-Expert Member

  #4
  Aug 12, 2009
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 2,835
  Likes Received: 927
  Trophy Points: 280
  Kweli tunaishi tukitembea kwenye barabara mfano wa sine and cosine graphs..kuna ups and downs na mambo yote huja na kupita. Kweli ndugu yangu kupenda ni kuonyesha kwa vitendo na sio maneno mengi yasiyo na action yoyote.
   
 5. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #5
  Aug 12, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Duh kumbe iwa mnatumia na nyie maneno kama haya hehe nilikuwa sijui.
   
 6. nkawa

  nkawa Senior Member

  #6
  Aug 12, 2009
  Joined: May 11, 2009
  Messages: 181
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mapenzi ya dhati
  1. kuwa mkweli na muwazi kwa mwezako katika kila jambo kwa mfano katika
  mapenzi,
  matumizi ya pesa, mahusiano na ndugu na wazazi.
  2. kumheshimu mweza wako katika hali zote za maisha.
  3. kumwamini mweza wako katika mapenzi, matumizi ya pesa.
  4. Kumsaidia mweza wako katika hali yoyote ya mapungufu mfano katika mapenzi,
  kipato na majukumu katika familia
   
 7. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #7
  Aug 12, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,913
  Likes Received: 213
  Trophy Points: 160
  So funny, vipi kama akifanya kwa vitendo akakuletea kasuku atakayekuwa anakutamkia neno "nakupenda" kila uamkapo utaridhika kuwa anakupenda?

  Lol!
   
 8. V

  Vakwavwe JF-Expert Member

  #8
  Aug 12, 2009
  Joined: May 16, 2009
  Messages: 507
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  1. Kunifanyia wema bila kusubiri nimlipe wema wake
  2. Ajue kwamba mapenzi kwa maana ya ku'do' ni sehemu muhimu sana ktk ndoa
  3.ajue kuchukuliana udhaifu,siyo kuuanika udhaifu wa mwenzake ili aonekane superior
  4.aniamini kuwa nina mawazo constructive kabla ya kucritisize i.e. kuheshimiana kwa mapana yake
  5.tukitoka ajisikie raha kwa muonekano kuwa na mimi,siyo anakuja nyumanyuma kama mwizi wa mapenzi anaelekea guest house ya uswahilini.
  6.ushirikiano ktk tendo la ndoa (strictly kwa wanandoa),kama anahisi kinamboa basi ushauri wa marekebisho uwe kabla ya kwenda uwanjani...
  7.ajue kuwa smart,siyo kwa kuwa anaye basi mtu anajiachia mpaka baaasi, ukweli ni kwamba mme/mke akipendeza barabarani hata mndani wake anamtamani kwa upya kabisa...
  8.kutofanya vitu ambavyo mwingine hapendi,e.g.kuna watu wana hobbie ya kugombeza watoto/msaidizi wa nyumba/ndugu n.k akifoka sana mbele yangu uzuri wake unadeteriorate sana..ajiheshimu na aheshimu wanaomzunguka
  9.asipende nimpe rushwa ndo anipende e.g. mtoko,zawadi n.k
  10.aheshimu sana kazi yake na yangu....wivu ukizidi sana unaharibu mahusiano...
   
 9. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #9
  Aug 13, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Hahahaha aah wapi kaka ni katika harakati za kumuandaa mtarajiwa LOL.
   
 10. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #10
  Aug 13, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Ukienda Roma fanya kama waroma so.......... in your world kaka yangu ili tuelewane lugha!!
   
 11. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #11
  Aug 13, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  LOL Ndugu... maneno ya kasuku na matendo yake au tendo ni kuniletea kasuku?

  Hapana anipende kwa vitendo hata asipotamka nakupenda but vitendo vikaongea will appreciate sana tu.
   
 12. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #12
  Aug 13, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  .....Duh yaani unekomelea msumari wa mwisho ndugu yangu. Kweli kabisa very true

  kwenye red nimecheka hadi basi kweli siku yangu nimeianza vizuri leo.

  No. 7 nimeipenda.
   
 13. L

  Ledwin JF-Expert Member

  #13
  Aug 13, 2009
  Joined: Oct 9, 2007
  Messages: 227
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35

  F.mchokozi ww.
   
 14. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #14
  Aug 13, 2009
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  napenda anickilize/nijali/dhamini! asichukulie mapungufu yangu kama big deal bali yeye ndio wakuniongoza kwa namna moja au nyingine, mukitanda twende sawa na tuwe tunaelewana pale mwenzako anapokukosea.....na awe mwepec kusamehe sio ile mmeshaongelea jambo baada ya dk anasema ndio mana ulifanya hivi na vile(gubu)
   
 15. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #15
  Aug 13, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Tell me about it..........
   
 16. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #16
  Aug 13, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Teh teh teh naona tayari mzee amesha lishwa mdimu mambo bam bam ndo maana nimeamua kuachana nae.
   
 17. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #17
  Aug 13, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Duh naona dalili za mvua sina changu tena hapo lakini nafasi yako Calo anainyemelea shauri yako.
   
 18. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #18
  Aug 13, 2009
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,644
  Likes Received: 1,470
  Trophy Points: 280

  Na mi ivo ivo MJ1:p
   
 19. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #19
  Aug 13, 2009
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,644
  Likes Received: 1,470
  Trophy Points: 280

  LOL hiyo amri ya pili nadhani ndo kubwa kuliko zote......
   
 20. Akili Unazo!

  Akili Unazo! JF-Expert Member

  #20
  Aug 13, 2009
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 2,761
  Likes Received: 2,399
  Trophy Points: 280
  mapenzi ya dhati na yasiyo ya dhati ni yapi?
   
Loading...