Mwanamke Anapokuwa M-babe

At first nilijua ni kijana wake yani mtoto wake wa kiume. Jamani amepewa kichapo mpaka aibu!..
 
mpaka ni extract ni download arrrrrg sheikh X wenye connection za kuchechemea tunashindwa kuiona...
 
ipo youtube
[ame]http://www.youtube.com/watch?v=qfgrN8tzJJA&feature=fvw[/ame]

hii majuu kudadadeki ila jamaa alikuwa kalewa....jimama kama ili bana ukiwa nalo unahitajika ule msuba daily
 
nakuambia nitaku2mia picha kwenye PM uone.......kwani basi unafikiri anatisha sana? kwanza ana bahati ku hange na mie

eeheheheheee.....MG sio league yako...

wewe dili na mange kitambi wako...MG ni classy, sassy, and drop dead gorgeous. Wee ishia kupigia puli tu picha zake
 
eeheheheheee.....MG sio league yako...

wewe dili na mange kitambi wako...MG ni classy, sassy, and drop dead gorgeous. Wee ishia kupigia puli tu picha zake
bwa ha ha ha ha najua hata picha umeshasema nitazifanyia photoshop....yule mbona wa kawaida tu......
lol MK labda fair Player sio mie
 
...salaaaaaale! inanikumbusha kinamama wa kinyakyusa!
Mbaya zaidi jamaa anakula kichapo mbele ya 'wanawe', na huyu mwanamama anaonekana ana enjoy kumpa kisago huyu mheshimiwa!

Balaaa!
hilo li amazon unalifananisha na mi mama ya kinyakusa-jesus of nazareth where has all the respect gone !!!!!!!!!!!!!
 
hilo li amazon unalifananisha na mi mama ya kinyakusa-jesus of nazareth where has all the respect gone !!!!!!!!!!!!!

...ohhhh---hhhh I take my words back! Nilikusudia umbile bana, kumradhi basi kwa wanyakyusa wote mnaonisoma.
 
bwa ha ha ha ha najua hata picha umeshasema nitazifanyia photoshop....yule mbona wa kawaida tu......
lol MK labda fair Player sio mie

Sasa Yo Yo ukiwa ndani ya Vogoe la MG watu si watahisi ameku-'takeaway'? Kenya wanasema demu kachukua 'chips funga'.
 
mimi sio mtu wa kupenda ugomvi,ila wakiwepo wanawake kama hawa kwa WALE TU WANAUME OVER WAKOROFI,WANAFAA SANAAA....
 
Back
Top Bottom