General Director wa WHO anatarajiwa kuja nchini wiki ijayo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

General Director wa WHO anatarajiwa kuja nchini wiki ijayo

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Maturo, Aug 12, 2009.

 1. M

  Maturo Member

  #1
  Aug 12, 2009
  Joined: Aug 12, 2009
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hi members of Jamii Forum! I hope every body is fine. wiki ijayo tunatazamia kuwa na ugeni mkubwa kutoka WHO, ni Mkurugenzi mkuu, ni mama huyu Magret Chan, ambaye atatembelea Ifakara Health Institute na maeneo mengine ya nchi ikiwemo zanzibar. Mnaonaje Ujio wa huyu mama ambaye ni Daktari?
   
 2. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #2
  Aug 12, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,867
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  Je kwa nini aende Ifakara?? Umuhimu wake Tz nini upi?

  Al Baradei wa IAEA naye alikuwepo Tz nikadhani basi mazungumzo ya kutupatia utaalamu kuvuna Nyulkia ili kuondoa mgawo wa umeme yangeanza lakini wapi!
   
Loading...