Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nasikitika kuona watu wengi wanachangia maada pasipo kupima uzito wa jambo wala kufanya tathmini yeyote ile na hili ni tatizo kubwa sana kwa sisi watanzania tunapenda kukurupuka sana na kujifanya...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Midume inayo bonda wake zao, ama wachumba zao au magelfrend zao au hata dada zao, ni waoga ile mbaya kupigana na wanaume wenzao. Midume hiyo mioga ina boost immunity zao za kihisia kwa kupiga...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Marayamwisho kunipigia simu aliniuliza nilipo, nikamwambia nipo napata dinner hotelin, akakasirika eti kwanin sikumkaribisha ajiunge nami, jana tena kanipigia na kuniuliza nafanyann, nikamwambia...
0 Reactions
42 Replies
4K Views
Kiukweli asilimia kubwa ya ma HR wa maofisini (SIO WOTE) hasa wa kiume wana tabia moja mbaya sana ya kukagua dada zetu hadi kimwili ndio sawa ana shida lakini sio vizuri kuchukua hiyo advantage...
0 Reactions
47 Replies
4K Views
  • Closed
Naomba nafasi kwenye mambo ya kikubwa
0 Reactions
0 Replies
968 Views
Whether you want to find women to date on an occasional basis or are looking to start a long-term relationship, your success depends on a variety of factors. While every woman is different...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
The men that ONLY stuck with one woman (even a high quality woman) were losing genetically to the men that used all of their opportunities and had many more children that survived. Those children...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wana JF. Uhusiano wa kimapenzi ndio ambao huzaa ndoa baadae. Lakini vijana wengi sana wamekuwa hawajui ni sehemu gani sahihi ya kumpata mweza wa kweli. Hili limekuwa ni swali gumu ambalo...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Afisa mkubwa wa serikali anayeish mjini moshi,ingawa alikua na makazi pia arusha i.e. Ana mke na watoto wa 3.mwaka juzi aliamua kuamishia familia yake arusha,ili yeye awe anakwenda mwisho wa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
namsaka mke wangu,yupo kwe hisia zangu.napata picha tu,kua ni mwepe,mrefu,na ana miaka 23 na hunijia kipicha ila sipati picha eeee,jamani popote alipo anipigie na hii mana mwaka mpya ndo huu...
0 Reactions
26 Replies
5K Views
Nimegundua wazee wetu walikuwa na akili sana cjui wangapi wameobserve hili! Chumbani kwa wazazi wangu kulikuwa na vitanda viwili cha baba na mama sikuwai kuwaza wanalala pamoja mpaka nimekuwa...
4 Reactions
46 Replies
4K Views
Moja kati ya tabia zetu (Watanzania) zinazonishangaza ni namna yetu ya kusalimiana. (Na pengine salamu zenyewe) Mfn: A na B wameongozana pamoja, wanamkuta C kakaa nje ya nyumba yake. A...
0 Reactions
17 Replies
9K Views
Hivi umewahi kuona mtu anatetea sana kitu japo kwa nje anaweza akaonekana yeye ndie anaeonewa/kosewa? Wakati mwingine watu hua wanawatetea wenzao sio kwasababu wanapenda bali kwasababu nafsi...
1 Reactions
110 Replies
6K Views
Well:: Well:: Well:: Kumekuwepo na ongezeko kubwa sana la wana-JF kufahamiana "kiuhalisia" kadri siku zinavyokwenda... Kiuhalisia namaanisha - kwa majina halisi na kupeana namba za simu na hata...
10 Reactions
265 Replies
16K Views
The strength of a man isn't seen in the width of hisshoulders.It is seen in the width of his arms that encircle you. The strength of a man isn't in the deep tone of hisvoice.It is in the gentle...
3 Reactions
62 Replies
4K Views
Sheria mpya inayowapiga marufuku wanaume kuuza nguo za ndani za wanawake kama vile chupi na sidiria inaanza kutekelezwa hii leo nchini Saudi Arabia. Wanaharakati wa kike katika Ufalme huo wa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
For awhile now I've been depressed over my ex girlfriend. We broke up 8 months ago from our 1.5 year relationship because I got jealous over something she lied about, but she trusted me not to...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Rafiki yangu ana ndoa ambayo sasa ina takriban miaka saba. Miezi miwili iliyopita alianiambia kuwa katika mizunguko yake alikutana na Dada ambae alitokea kuvutika nae ghafla..alifika ofisini kwake...
3 Reactions
38 Replies
4K Views
Haya watetezi wa ndoa na uvumilivu teteeni na hii! Jamaa kafumaniwa na mkewe. Jamaa anacheat na mke wa mtu! Halafu kuna watu bado wanaapia wanawake huwa hawacheat. It beats me how delusional some...
0 Reactions
115 Replies
8K Views
Huwa tunatuma au kutumiwa Roses.Wakati mwingine tunakosa kuelewa maana yake. Nimeipata hii nikaona niwashirikishe wenye kupenda kujua maana.Enjoy! Meaning of Number of Roses...
1 Reactions
10 Replies
9K Views
Back
Top Bottom