Kujua na kutojua

Fidel80

JF-Expert Member
May 3, 2008
21,947
4,444
Kuna kitu iwa kinanitatiza sana katika haya mahusiano ya mapenzi nacho ni kujua na kutojua.....naamini wengi iwa inawauma sana ukijua mpenzi wako anatoka nje ya ndoa. Je ni bora kuendelea kutojua?
Unajisikiaje ukichukua simu ya mpenzi wako na ukazama kwenye message na kujua anawanamke wengine wengi?
Jamani nisaidieni katika mapenzi ni bora kujua au kutojua anacho fanya mpenzi wako hususani na love affairs?
 
Kujua ni nzuri zaidi inakupa changa moto ya kufanya maamuzi mapema ya kujua una tatizo gani linalomfanya atoke nje, kama ni hoby yake kufanya hivyo uwe na maamuzi. Hakuna kiti kibaya kama kudanganya mtu asiyekudanganya.
 
Ni bora kujua ili uamue utafanya nini? kuliko kujiona unaishi na mtu mwaminifu kumbe kuna mambo yake anafanya na kujua mapema pia kutamsaidia na mtendaji anaweza akajirekebisha maana ukijua hutanyamaza lazima kuna action utatake.
Japo dah! unapojua hiyo dakika ulitogundua unatamani ----
 
mie naonaga ni bora mtu atumie akili zake zote nicjue, wengine sie tumebakiwa na akili za kuvukia barabara tukijua tunafanyia ligi kabisa kama mbaya iwe mbaya......
 
mkuu!
ukijua mengine BP inaweza kupanda sana, especially hapo kwenye simu za mkononi balaa, wengine hata bafuni wanakwenda nazo, just imagine ukiikamata ucheki kwenye sms, mamamaaaaaah utazimia hapo hapo!.
 
Kuna kitu iwa kinanitatiza sana katika haya mahusiano ya mapenzi nacho ni kujua na kutojua.....naamini wengi iwa inawauma sana ukijua mpenzi wako anatoka nje ya ndoa. Je ni bora kuendelea kutojua?
Unajisikiaje ukichukua simu ya mpenzi wako na ukazama kwenye message na kujua anawanamke wengine wengi?
Jamani nisaidieni katika mapenzi ni bora kujua au kutojua anacho fanya mpenzi wako hususani na love affairs?

hahahahah!shemeji bwana inakuwaje hadi ajue?mimi nitahakikisha HAJUI,KAMA NOMA NA IWE NOMA!

kuna njia nyingi sana za kum-maintain ''secret-lover wako'',au tuseme ''kuwatumikia miungu wawili''.kuna moja imetumika saana kwenye series ya ''alias'' (samahani kwa wale wasio na hobby na movie).

Sydney aliweza kuwatumikia C.I.A na SD-6 bila hata mtu anae lala nae kitanda kimoja kujua!

Simple sana mzeya!ukiamua kuwa malaya,we kuwa malaya kwelikweli.tafuta simu ya gharama,ambayo ina fingeprints password BASI,UMEMALIZA KAZI HAPO!ATASUBIRI SANA!

majina humo ndani unayasave kiaina aina.ningekuwa mimi madem zangu ningewasave kama ifuatavyo

1-kwa mjapani
2-baa mpya
3-kwa mtitu
4-gudi channeli
5-sebuleni

hivo hivo mzeya,hahahahahah
 
mkuu buffalo usisahau, demu atajua buffalo lile basi la dar-moshi, kumbe changa la macho!, teh teh
 
hahahahah!shemeji bwana inakuwaje hadi ajue?mimi nitahakikisha HAJUI,KAMA NOMA NA IWE NOMA!

kuna njia nyingi sana za kum-maintain ''secret-lover wako'',au tuseme ''kuwatumikia miungu wawili''.kuna moja imetumika saana kwenye series ya ''alias'' (samahani kwa wale wasio na hobby na movie).

Sydney aliweza kuwatumikia C.I.A na SD-6 bila hata mtu anae lala nae kitanda kimoja kujua!

Simple sana mzeya!ukiamua kuwa malaya,we kuwa malaya kwelikweli.tafuta simu ya gharama,ambayo ina fingeprints password BASI,UMEMALIZA KAZI HAPO!ATASUBIRI SANA!

majina humo ndani unayasave kiaina aina.ningekuwa mimi madem zangu ningewasave kama ifuatavyo

1-kwa mjapani
2-baa mpya
3-kwa mtitu
4-gudi channeli
5-sebuleni

hivo hivo mzeya,hahahahahah

sasa ume save hivyo vijina lakini nakuta sms inasema" jana nili enjoy sana tulivyo sex kuliko cku zote mpenzi wangu"....ndio huyo baa mpya! mambo mengine bwana, hapo mie ndio nitaharibu kabisa......
 
kuna simu zina passwords mpaka kwenye sms, motorola ni mfano wake.
zingine ni hizi smart phones kama za nokia ambazo unaweza kuinstall software ambayo unaweza kuset kublock baadhi ya simu na sms zisiingie. inamaana ukiwa na wife namba za vimeo zote unablock NO sms No calls!!
so hapo unaficha kila kitu, hata simu unaweza kuiacha kitandani lakini wife asiweze kuona au kufungua chochote, lakini ukiwa na simu za kawaida hizi kama za tochi UMEUMIA utakamatwa kama kuku mjinga!
icon10.gif
 
kazi mnayo.....
 
Ni bora kujua na kufanya informed decision! Ukiamua kuwa naye ni kwamba umeamua hivyo kwa hiari yako mwenyewe. Ukiamua kusepa utakuwa umefanya hivyo kulingana na kile unachokijua. Hakuna kitu kibaya kama kuwa in ze dark!!
 
hiyo msg utaionea wapi?UNACHEZA WEWE!
nikiamua usijue HUJUI TU MPAKA NAKULETEA MAGONJWA HUMO NDANI!

utapata faida gani hapo? unaubeba tu unakuja kunirushia mie au na wewe unakuhusu? mana umejitenga, hivi hufikirii wanao hata kidogo hapo?....
 
let's take nakutrick kwa majina,how will you overcome the cituation?

mwambie shem!
kama anabisha akaangalie simu ya mr wake, na ajaribu namba moja baada ya nyingine!
 
mie naonaga ni bora mtu atumie akili zake zote nicjue, wengine sie tumebakiwa na akili za kuvukia barabara tukijua tunafanyia ligi kabisa kama mbaya iwe mbaya......

Bora luv umeweka wazi kabisaa maana ukijua kama mlikuwa mnacheka ndo kwanza ugomvi ndani ya nyumba migogor mingi inaanzia hapa hapa kwenye kujua utaona watu wanapekua mpaka vitu ambavyo haviwahusu sasa ukisha jua itakusaidia nini jamani????
 
NN iyo picha...aaah nilikuwa nakula appetite yote kwisha! muwekage warning!
 
Back
Top Bottom