Mwanamke Nyonga Babu. Ni Nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanamke Nyonga Babu. Ni Nini?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by mmaroroi, Aug 6, 2009.

 1. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #1
  Aug 6, 2009
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Ukipita mtaani unasikia watu wakisema Mwanamke Nyanga.Ina maana gani? na manufaa yake nini kwa Mwanamke na Mwanaume?Tuelimishane.
   
 2. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #2
  Aug 6, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Itakuwa Nyonga etii?
  Yeah ni katikati ya tumbo na kiuno ambapo mwanamke umbo linagawika na kuwa kama umbo namba 8 umeona nane hiyo ndo nyonga yenyewe inajazia mpaka wanaume wakwale wanatoa mate wakikuona. Vp kwani wewe hukoje?
  Unapenda na wewe uvutie? Mchina kaleta mzigo wa madawa unajipaka kitu kinatutumuka tu unakuwa na kalio la ajabu.
   
 3. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #3
  Aug 6, 2009
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  wengine wasema MWANAMKE FENI NA MWANAUME PANGABOI
   
 4. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #4
  Aug 6, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Mwanamke deki bwana nyie ni aje?
   
 5. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #5
  Aug 10, 2009
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Asante kwa ufafanuzi mzuri,lakini hayo madawa ya wachina si yana madhara eti?
   
 6. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #6
  Aug 10, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Yeah kila kitu kizuri hakikosi kuwa na madhara vp na wewe unataka uwe na wowowoo?
   
 7. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #7
  Aug 10, 2009
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Ndio,lakini sitaki dawa zenye madhara,yasiyo na madhara unayafahamu?
   
 8. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #8
  Aug 10, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Lakini kama upo portable si bora ubaki hivyo hivyo.
   
 9. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #9
  Aug 10, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  mwanamke nyonga kiuno majaaliwa - mwanamke ajue kuizungusha nyonga kimzikimziki kiuno ukiwa nacho chembamba ni majaliwa yako
   
 10. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #10
  Aug 10, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  mwanamke atune chini ya mgongo.....
   
 11. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #11
  Aug 10, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Ani PM.....ni nani?
   
 12. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #12
  Aug 10, 2009
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,306
  Likes Received: 5,596
  Trophy Points: 280
  Terminologies za kipwani na taarabu words...
   
 13. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #13
  Aug 10, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  hahahaha mpwa subili nikuunganishe nae ila shrti moja tuma air ticket.
   
 14. Grader

  Grader JF-Expert Member

  #14
  Aug 10, 2009
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 446
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  mwanamke wenye wowowowo na kiuno kama nyigu na anaweza kukatika kweli
   
 15. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #15
  Aug 10, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Hahahaha wengi wao iwa wanashindwa kuzungusha kiuno. Nina mtoto wa Kitanga dahh wallahi ananirusha wakuu mtoto white usipime mpwa Yo Yo alafu kajaza kalio lainiiiiiiiiiiii nyonga ndo usiseme huyu hanichuni kabisa nalazimika kumpooza kiaina.
   
 16. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #16
  Aug 10, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  yah mpwa fanya faster achague kabisa anataka kukwea pipa gani....tukutane nae usheli sheli
  mpwa unafaidi kichizi.....
   
 17. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #17
  Aug 10, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Hahahaha poa mpwa subili kaa mkao wa kula nafanya makeke si unaniaminia nilivyo fasta.
   
 18. K

  Kibongoto JF-Expert Member

  #18
  Aug 10, 2009
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 227
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Nasikia huko Tanga kama umetoka zako Bara(moshi?) unaweza ukapagawa kwa mambo fulani. Wewe sio wa kwanza kusalimu amri, hahahaha!!!
   
 19. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #19
  Aug 10, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Mzee unajua wale watoto wa huku kwanza wanafundwa jinsi ya kumjali mwanaume yaani mpaka unachonga mzinga kabisaaa yaani wanajua kupenda na wanajua mapenzi ni nini yaani we acha tu.
   
 20. ISACOM

  ISACOM JF-Expert Member

  #20
  Aug 10, 2009
  Joined: Jul 22, 2009
  Messages: 260
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  Ndo hivyo maana,daaah...! upate wauongo utashindwa pita naye kitaa.Kama wasemavyo ndivyo ilivyo.Mwenye nyonga atakuwa juu tu
   
Loading...