Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.9K
Posts
231.3K
Threads
7.9K
Posts
231.3K
Just go down the story Daddy, May I  borrow $25? A man  came home from work late, tired and irritated, to find  his 5-year old son waiting for him at the  door.� SON:  'Daddy, may I ask...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna mambo ukiambiwa unaweza ukachelea kuamini...lakini ndo ukweli. Jamaa ameoa jumamosi na jumatano akaanza kuulizia kisu chake chenye makali ambacho tayari mkewe alikuwa amekificha baada ya...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Hivi jamani ni kawaida mwanamke kudeka deka au ni baadhi ya wengine kujifanyisha tu. Yaani kitu kidogo tu mara atalalamika hivi ...! mara siwezi...! mara nimechoka...! mara hio tuache tu...! mara...
0 Reactions
19 Replies
7K Views
Kuchiti kwenye mahusiano ni hulka ya mtu mwenyewe au anamkomoa aliye naye au nikutafuta sifa kuwa anayaweza au basi ni tabia ya mtu mwenyewe?
0 Reactions
8 Replies
8K Views
wada mnajua kwamba huu mtindo wa kuchat kwa sms siku hizi hasa kwa vijana kuna raha flani hawa vijana wanapata? mara nyingi zimekuwa sms za mapenzi ambapo mawasiliano yale yanakuwa intimate to the...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
19 FACTS ABOUT MEN 1.Men love to be the first to read the newspaper in the morning. Not being the first is upsetting to their psyches 2. The way a man looks at himself in the mirror...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
v\:* {behavior:url(#default#VML);} o\:* {behavior:url(#default#VML);} w\:* {behavior:url(#default#VML);} .shape {behavior:url(#default#VML);} 32 FACTS ABOUT WOMEN 1. Women fake...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nabii Muhammad – Rehema na Amani zimshukie – alipotumwa na Mwenyezi Mungu Mtukufu kuja ulimwenguni kuuhusisha Uislamu ulioasisiwa na Mitume waliomtangulia, alimkuta mwanamke akiishi chini ya...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
I wonder what are the ones for a real woman.......
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hali ya sasa kiuchumi sio nzuri hata katika vipato vyetu hapa Tz. Mara nyingi matumizi yanazidi uwezo wetu wa kipato. Inajitokeza kuwa kuna kisa 'live' cha wanandoa fulani wana tatizo kwani...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
The Art of Giving: "Rivers do not drink their own water, Nor do tree eat their own fruit, Nor do rain clouds eat the grains reared by them. The wealth of the noble is used solely for the...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
I don't know if this is on point for everyone, but it is for me (PISCES). Anyway enjoy! Read what it says about your sign. If you forward it, put your zodiac sign and label on the subject line...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Je ni kweli na haki kuleta ugomvi ndani ya ndoa pindi mwenzi wako anapokuaaga na kukwambia kuwa leo kuna match ya mpira hivyo nitaenda kuangalia hata kama nyumbani kuna DSTV na kila kitu kipo...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Sina hakika neno “sexy” kwa kiswahili ni nini hasa, je ni kuvutia in a sensual way kwamba watu wanakuona uko kingono-ngono (picha wanaipata wanapokuona ni unavyokuwa juu ya vitanda vyao)...
0 Reactions
0 Replies
25K Views
Mwanamke mmoja wa nchini Tunisia ana Mimba ya watoto 12 Tuesday, August 18, 2009 8:40 AM Mwanamke mmoja nchini...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Naomba nielimishwe?Aina zote za ndoa(Kikristo,Kiislamu,kijadi na kiserikali)zinaruhu ndoa kwa Mwanaume Mke mmoja au wengi na Mwanamke Mume mmoja.Kama mwanaume anaruhusiwa kuoa Wake wengi kwanini...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Great sex or great night of sleep....?
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Hivi wakuu nataka kuuliza. Usawa una wezekana kweli kwenye uhusiano haswa kama ndoa? Is it practical au just a wonderful concept? Ukiangalia kati kila nyaja ya maisha lazima kuna walio juu zaidi...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
I had a one night stand with a lady and she got pregnant. I work overseas and have realised that despite all the finacial support I give her, she is not looking forward to developing me or even...
0 Reactions
48 Replies
6K Views
Waheshimiwa sana wanaJF, Nawauliza hasa wanaume, kwanini usimruhusu mke wako au mpenzi wako wa kike kuwa na simu ya mkononi wakati wewe unayo? Katika tembeatembea nilikumkuta dada mmoja...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom