Manjonjo vikolombwezo na madoido katika..! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Manjonjo vikolombwezo na madoido katika..!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mwiba, Aug 9, 2009.

 1. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #1
  Aug 9, 2009
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Sijui nianze vipi katika kuulizia lakini heading yenyewe inajieleza ,maana masuali mingine yanakuwa rahisi na wanaotaka kujibu wanakuwa wamishalielewa suali hata kama halijamaliza kuulizwa ,sasa hapa mnasemaje ?
   
 2. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #2
  Aug 11, 2009
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Suali naona limekuwa gumu sana ,tatizo watanganyika hawayajui mambo wao inakuwa kama magogo tu kabla ya majambozi kuna vitu.
   
 3. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #3
  Aug 11, 2009
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,646
  Likes Received: 1,473
  Trophy Points: 280

  Mkuu Mwiba, kama huan Access ya mambo yetu yale wasiliana na mkuu Invisible haraka iwezekanavyo....alas kumbe mfungo unaanza/umeshaanza ivo?
   
 4. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #4
  Aug 12, 2009
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,313
  Likes Received: 5,605
  Trophy Points: 280
  mahanjumati kind of stuff....inabidi jamii yetu iboreshe jando (kwa karne hii)au hata kwa cd...watu wafundishwe maadili ...ama kuwe na bachelor party kijana akikaribia kuoa....maana ni balaa sasaaa....unaweza ukadhani wanajuaa kumbe wanachezacheza na kijana akawa anaibiwa maana hafiki pale mwenzake anapotarajia...
   
 5. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #5
  Aug 13, 2009
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Mzee lete ufundi hapa kidogo panaelekea pana kaujuzi na kuelimishana ndio moja ya mikakati ya JF ,tatizo hapa kuna watu wanajiona wanajua na utawaona wanazarau tunaouliza ,kumbe na wao hawajui kitu ila wanaziba pengo ,jamani kuuliza si ujinga .Watu wana roho za kolosho hapa ,hawataki wengine tupate elimu ,ivi lile somo la ngono nasikia siku hizi linataka kuanzishwa huko mashule au lishaanzishwa ? Yaani kama lipo nitaludia kusoma japo iwe wanatufundisha wakati wa jioni.
   
Loading...