Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Salam wadau, Nilikuwa na swala zamani ambalo sijapata jibu kutokana na kila mtu na maoni yake sasa nimeshidwa kuelewa ni kipi sawa. Nimejaribu kupeleka JF Doctor lakini hamna majibu. Inshort...
1 Reactions
91 Replies
34K Views
Kama mtu akikuuliza swali lifuatalo; Kwanini unampenda mke wako au mume wako au mchumba wako, utampa jibu gani? Wanaume wengi (siyo wote) katika kujibu hili swali wanaweza kujikuta wanajibu...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari, Leo naomba tuliangalie hili katka hali isiyo ya kawaida jinsi mtu anavyoweza kupambana na hisia za kufanya mapenzi yalio haramu. Based on true story. Balehe imenianza nakumbuka nikiwa na...
7 Reactions
17 Replies
5K Views
History inatuonyesha kuwa miaka ya nyuma kabla ya kugunduliwa pesa watu waliuziana kwa mtindo wa kitu kwa kitu (barter trade) ambapo kama wewe ni mvuvi ambaye una samaki na unahitaji mbuzi basi...
4 Reactions
37 Replies
3K Views
Kwa Mwanaume yoyote ambaye atakuwa anapendelea kuvaa nguo ya ndani ( chupi ) ya mpenzi wake au mkewe mara kwa mara atakuwa na uwezo mkubwa sana wa kufanya ngono kwakuwa wanasema kuwa hata iweje...
0 Reactions
46 Replies
6K Views
Ninae rafiki yangu ambae ameamua kuweka wazi swala linalo msibu,Alifanya Mapenzi na rafikie wa kiume(hawakukusudia) lkn katika michezo ya kushikana shikana Walijikuta wanaishia kufanya...
2 Reactions
46 Replies
9K Views
Sio kila wakati mwanaume anataka kufanya mapenzi na sio kila wakati mwanamke hataki kufanya mapenzi. Hicho ni kitu nmejifunza hivi punde. Inasemekana kuwa wanawake hawapendagi ngono sana ila ni...
7 Reactions
99 Replies
23K Views
Hasa kwenye swala la mapenzi wanawake hawana maamuzi kuhusu kutumia au kutotumia Kondom. Ukisahau mwanaume au usipopenda basi utapewa papuchi ivo ivo, sijui kwanini.
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Angalia jinsia yenye headache generator...au kwa lugha za kizushi pasua kichwa Kisha angalia medulla ambayo muda wote inawaza uzinzi tuu Kumbe hizi jinsia mbili hazichekani kila moja ina majanga...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani wana MMU hamjambo! Poleni na tafakuri za kutwa nzima ya leo. Jamani uswahilini hakuishi vituko. Kutokana na hali ngumu ya upatikanaji wa ngawila /chapaa/ fedha kwa sasa vijana uswahilini...
5 Reactions
33 Replies
9K Views
Naomba msaada wa kiafya. Kuna tatizo endapo unafanya mapenzi na mke wako mara nne tu kwa mwaka. Hili tatizo ninalo mimi ni msalaba nilionao kwa mke wangu ni mgumu wa kutoa penzi. Kila siku...
3 Reactions
106 Replies
14K Views
Hahaha! Hivi nyie baba zetu mnashindwa kabisa kuvumilia mkeo akijifungua lazima uchepuke? Huoni raha kaongeza baraka kwenye familia wewe full kufanya mapenzi na michepuko.
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Jamani mwanaume unatia aibu romans hauwezi, kazi nayo huwezi,ukiingia dakika sifuri chali.Mapenzi ni raha na sio karaha ya kuchafuana kwa bao la dakika sifuri, khaaa! Stukeni jamani.
26 Reactions
417 Replies
61K Views
Wapo mtakaoniita mbaguzi ila ukweli utabaki nyumbani ni nyumbani lazima upapatie kipaumbele. Kumekuwa na wimbi kubwa la vijana wa kisukuma kuoa wanawake wa makabila mengine na kutupilia mbali...
4 Reactions
107 Replies
22K Views
Wakuu, Nahitaji msaada wenu wa mawazo. Hapa ni kwamba wife ameanza kufanya mazoezi makali ya kungfuu na judo karate mpaka ananitishia amani mpaka nafikiria kusepa zangu na kumuacha, lakini...
3 Reactions
42 Replies
6K Views
Wataalamu huwa wanashauri njia bora ya kuepusha balaa kunapokuwa na sexual tension kati ya watu wawili ni ku avoid kukutana....sasa najiuliza what if huwezi kuepuka kuonana na mtu huyo, na tayari...
9 Reactions
100 Replies
10K Views
Baada ya mwezi kupita mimi na wife tukiwa tumetengana nilipigiwa simu na Afande flan mwenye cheo cha Inspector na kuniomba nifike Kesho yake saa nne hasubui, bila kuchelewa nilifika kumbe wife...
2 Reactions
48 Replies
5K Views
Kumekuwa na tabia ya baadhi ya watu wa kabila moja hasa wanapokutana kwenye mkoa mwingine kuitana kaka/dada. Hii inakaaje?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hey hey good people, Leo ningependa tujadiliane kuhusu usaliti kwa njia ya mtandao na kanuni zipi ambazo zinaweza kutumika kuashiria usaliti kwa njia hio. Kama tunavyotambua usaliti upo katika...
8 Reactions
36 Replies
5K Views
Back
Top Bottom