CELLULAIRE
Member
- Mar 16, 2016
- 76
- 97
Kwa Mwanaume yoyote ambaye atakuwa anapendelea kuvaa nguo ya ndani ( chupi ) ya mpenzi wake au mkewe mara kwa mara atakuwa na uwezo mkubwa sana wa kufanya ngono kwakuwa wanasema kuwa hata iweje chupi ya Mwanamke hata ikifuliwa na sabuni gani na iwe safi vipi lakini bado huacha madini fulani pale chupini ambayo endapo Mwanaume ataivaa basi huamsha hisia zake za kimapenzi na kujikuta akifanya mapenzi sana na kumridhisha Mwanamke yoyote atakayekutana nae.
ILA
Kwa Mwanamke ambaye atakuwa anapendelea mno kuvaa nguo ya ndani ( chupi ) kabisa ya Mwanaume wake au mpenzi wake basi atakuwa na uwezo mkubwa sana wa kubeba ujauzito kwakuwa joto kali lipatikanalo katika mapumbu ya Wanaume huzalisha mno hormones zinazoweza kuyashutua mayai ya uzazi.
Kazi kwenu!