asante kwa majibu mazuri na maelekezo piaRekebisha kwanza heading yako, umesema kila mwanamke wa kabila lako lakini ndani ya post yako umeweka Kaka/dada.
Kwanza kabisa, bila kujali jinsia, watu waliotoka eneo moja wakikutana sehemu tofauti hujenga ukaribu.
Iko hivyo kwa watu wanaotoka kabila moja, mkoa mmoja, na huendelea hivyo kwa nchi na bara moja. Kwa mfano, watanzania wakikutana nchi nyingine watakua na ukaribu sana, hali kadhalika waafrika wakikutana nje ya bara la afrika watajenga ukaribu na udugu japo kwa mara ya kwanza wanapoonana bila kujali utadumu au lah!
Shukrani mkuu.
asante kwa majibu mazuri na maelekezo pia