Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 280,666
- 729,823
Angalia jinsia yenye headache generator...au kwa lugha za kizushi pasua kichwa
Kisha angalia medulla ambayo muda wote inawaza uzinzi tuu
Kumbe hizi jinsia mbili hazichekani kila moja ina majanga yake na siku zote huenda sawa aidha kwa kukubaliana au kukubaliana kutokubaliana...!!
Mchana wanakandiana mitandaoni usiku wanatafutana
mwisho wa siku unakuja kugundua wote ni pasua na wote ni waasherati