Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Yaani unajua inakera, unakuta chalii mchafu, ananuka makwapwa, ananukisha viatu, vest haijaoshwa kitu kama wiki mbili, hiyo Gotha ndo usiseme, after hiyo yote ati mkiwa bed na enyewe wewe unataka...
3 Reactions
74 Replies
6K Views
ILI UITWE BABY/DARLING /SWEETHEART HAPA MJINI LAZIMA UWE NA VITU VIFUATAVYO 1.CAR Hii inakamata nambari moja, sababu inaact kama catalyst, inaspeed up other attachments to comply with ur...
8 Reactions
44 Replies
7K Views
Nina swali dogo wanajukwaa. Hivi inawezekana jini mahaba kumwambukiza mtu virusi vya UKIMWI limuingiliapo kingono? Na mimba je? Maana tumegundua huwa linamuingilia mrs na hofu imenijaa...
0 Reactions
39 Replies
11K Views
Kina dada this is too much, hata kama ni kupiga mizinga hii imezidi, hii sio mizinga sasa ni makombora ya masafa marefu. Mtu hamjawahi kuonana mmekutana kwenye mitandao,mnapanga kukutana alafu...
2 Reactions
81 Replies
8K Views
My fellow ladies, Hebu tu zingatieni these rules, I'll use code mixing cos I'm not such fluent in swahili japo naeza Soma vizuri. Rule nómbre Uno (1). Never make ur man an financial institution...
6 Reactions
60 Replies
5K Views
Nawaza tu ,hivi itakuaje?ikiwa kama akina dada watakubaliana na hili suala la kuwajibika kifedha katika majukumu ya maisha ya kila siku ndani ya nyumba 100% Ikimbukwe wakati Mungu anamfukuza...
8 Reactions
46 Replies
4K Views
Hili nime liobserve long time, popote ninapopishana na mdada,mmama wanapenda kuangalia chini ya kiuno cha mwanaume kwenye boxer. Wapo wanaotoa macho kodo! Kama fundi saa! Wengine wanaangalia kwa...
9 Reactions
119 Replies
26K Views
Wadau nawasalimu, Kuna mtoto nilizaa na binti mmoja wakati makazi yangu yakiwa Dar, kwa sasa ana miaka 7 na darasa la pili.Nilipoondoka Dar na kuamia mwanza kwa shughuli zangu binafsi niliamua...
1 Reactions
124 Replies
14K Views
Yesterday i went to a birthday. And my ooh my. Despite the good time i had; i got blown away when a daddy stood up with an acoustic guitar and covered a song Go Gentle by Robbie Williams. Every...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Ewe mama, ewe baba kama hakuna tatizo la msingi hakikisha mwanao ananyonya maziwa ya mama tu miezi sita ya mwanzo. Hii ni kwa manufaa ya afya yake ya sasa na ya baadae. Tuache mazoea, eti kisa...
7 Reactions
23 Replies
6K Views
Habarini wadau...ninataka kuoa binti niliyempita miaka 15...kuna ubaya wowote?mi nina miaka 38 na yeye 23.Asanteni
1 Reactions
50 Replies
6K Views
Habari, Natumai mko poa wana MMU, Nimekuwa nikipitia nyuzi mbalimbali humu za watu mbalimbali na wakipatiwa ushauri wa hapa na pale,tuje kwenye mada,ishu iko hivi; Kuna msichana mmoja ninaishi...
0 Reactions
40 Replies
5K Views
Hii tabia ambayo inafanywa na hawa dada zetu huwa inatukera sisi wanaume. Wapo wanaume baadhi wanaougulia moyoni kwa kuogopa kuonekana ni wa aina fulani. Ni hii tabia ya kuhamishia matatizo ya...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
AMRI NANE (8) KWA WAPENDA OFA 1. Uwe na heshima kwa anayekununulia 2. Toa saalam kwa anayetoa ofa kabla hajaketi 3. Uwe ndio mchekeshaji wa kikao 4. Usithubutu kumkatisha kitu yeye akiwa...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Je, Unasumbuka juu ya penzi? Unakosa mahala sahihi pa kuweka penzi lako? Mpenzi au mume wako hatulii? Je, Unataka kumiliki na kuwa na mamlak juu ya ndoa yako? Kama ndiyo, fuatana nami...
1 Reactions
23 Replies
5K Views
Habari wana jamii forum, LEO nataka niwape somo ambalo pengine wengi wenu hamkubahatika kufahamu. Katika urithishaji wa kumbukumbu kwa mtoto anayezaliwa limekua ni jambo ambalo kwa...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Habari zenu wanaJF. Eti ni ukweli gani mgumu(hardest truth) ambao ushawahi kuambiwa either kwenye mahusiano, eneo la kazi, shule, mtaani n.k.? I mean jambo ambalo uliambiwa likawa gumu kulipokea...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Si mara yangu ya kwanza wala ya pili kujitokeza katika jukwaa hili, sijafanikiwa bado natafuta.. Natafuta msichana anayejitambua, awe matured! awe mkweli mcha Mungu wa kweli, awe at least form...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nilijua wanawake ndo huwa wanadanganya umri (na sielewi kwanini) Huyu mkaka nilivyokutana naye alikuwa na miaka 36. Muda ukaenda akawa na 34. Sasa hivi ana 32. Ukiuliza anapotezea anasema tu...
1 Reactions
61 Replies
6K Views
Ifuatayo ni hadithi kuhusu uvumilivu katika ndoa na mahusiano. Hakuna haja ya kugombana kwa kimahusiano. Kuwa tayari kusamehe kwani hiyo ndio siri ya Ndoa kudumu kwa muda mrefu. Soma na...
16 Reactions
21 Replies
12K Views
Back
Top Bottom