Wanawake hawana maamuzi kabisa kuhusu matumizi ya kondom

Kwel mkuu unaingza unafanya unamaliza ndio anakuuliza mbona hujatumia domu maamuz makubwa yapo kwetu me
 
Upo Sawa kabisa mkuu mtoa mada, ishu ka hizi huwaga nakutananaga nazo sana tu kwa mademu zangu.Wanaogopa mimba kuliko UKIMWI.
 
Inasemekana wanawake walio wengi husisitiza utumiaji wa Ndom pale wanapokuwa kwenye siku za hatari tu...Kwa maana ingine wanaogopa kupata mimba zaidi kuliko kitu chochote...
Lakini wanaume tuna ogopa ukimwi kuliko kumpa manzi mimba
 
Hasa kwenye swala la mapenzi wanawake hawana maamuzi kuhusu kutumia au kutotumia Kondom. Ukisahau mwanaume au usipopenda basi utapewa papuchi ivo ivo, sijui kwanini.
Mmmmm hao hao ulikutana nao wasiojitambua au wanajijua,ivi dunia yenyewe hii ya leo ukapaishe miguu juu bila kinga?
ebu wachunguze huenda wanatatizo au waulize....
 
Sasa wataonaje utamu, halafu we unayetajataja condom hutaki uzao wangu uendeleee au,,,,,,,,,,,,,............ TUMIA KONDOM TAFADHALI
 
Back
Top Bottom