exceptional lady
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 332
- 248
Jamani mwanaume unatia aibu romans hauwezi, kazi nayo huwezi,ukiingia dakika sifuri chali.Mapenzi ni raha na sio karaha ya kuchafuana kwa bao la dakika sifuri, khaaa! Stukeni jamani.
Nawe ni jipu!wenzako wanawaza kujenga uchumi we ngono tuujamani mwanaume unatia aibu...romans hauwezi,kazi nayo huwezi,ukiingia dakika sifuri chaliiiii.....mapenzi ni raha na sio karaha ya kuchafuan kwa bao la dakika sifuri....khaaa stukeni jamaniiiii
aisee....pole sanajamani mwanaume unatia aibu...romans hauwezi,kazi nayo huwezi,ukiingia dakika sifuri chaliiiii.....mapenzi ni raha na sio karaha ya kuchafuan kwa bao la dakika sifuri....khaaa stukeni jamaniiiii
Wanaume bhana waseme wao, wanawake midomo yao ina gundiNawe ni jipu!wenzako wanawaza kujenga uchumi we ngono tuu
Mhuu kazi kweli kweli unataka dakika ngapi wewe? Watu tunafikiria majipu wewe unafikiria kut.mbwa muda mrefu
Mwanamke ni kiumbe dhaifa na ndio maana kila analowaza ni dhaifu tuuuWanaume bhana waseme wao, wanawake midomo yao ina gundi
Nyie mnayoyaletaga humu, ya kipuuzi kipuuzi uwaga yanaboost uchumi au yanatumbua majipu???
yaaani wanakerajee....jamani mwanaume unatia aibu...romans hauwezi,kazi nayo huwezi,ukiingia dakika sifuri chaliiiii.....mapenzi ni raha na sio karaha ya kuchafuan kwa bao la dakika sifuri....khaaa stukeni jamaniiiii
Unatoa ushirikiano? isijekua kila unapoguswa hutaki ukigeuzwa Hivi hutaki!jamani mwanaume unatia aibu...romans hauwezi,kazi nayo huwezi,ukiingia dakika sifuri chaliiiii.....mapenzi ni raha na sio karaha ya kuchafuan kwa bao la dakika sifuri....khaaa stukeni jamaniiiii
Heri kiumbe wewe husiye na udhaifuMwanamke ni kiumbe dhaifa na ndio maana kila analowaza ni dhaifu tuuu