Salam wadau,
Nilikuwa na swala zamani ambalo sijapata jibu kutokana na kila mtu na maoni yake sasa nimeshidwa kuelewa ni kipi sawa. Nimejaribu kupeleka JF Doctor lakini hamna majibu.
Inshort mimi nikisafisha uke kwa kidole na kutowa utoko uke wangu hubana sana (tight unakuwa), na nikisafisha kwa juu tu na kuacha utoko ndani huwa nakuwa loose na harufu si nzuri hujitokeza.
Sasa ni kipi sawa, kusafisha juu tu au kwa kidole?