Jamani wana MMU hamjambo!
Poleni na tafakuri za kutwa nzima ya leo.
Jamani uswahilini hakuishi vituko. Kutokana na hali ngumu ya upatikanaji wa ngawila /chapaa/ fedha kwa sasa vijana uswahilini wamekuja na mtindo mpya kabisa wa kutimiza haja zao za kingono.
Mtindo huu unalenga kumuwezesha kila mmoja mwenye haja ya tendo hili nyeti kibaolojia kulipata kulingana na uwezo wa mfuko wake. Kuna madaraja matatu ya huduma:
1. Mkopo. Daraja la huduma hii ndiyo ghali zaidi uswazi (kati ya Tsh 10,000/- mpk 15,000/-). Mgawaji anatoa mchezo kwa dhamana ya laini ya simu, betri ya simu, mkanda wa suruali ama saa ya mkononi. Malipo yakifanyika ndani ya siku 3 ni Tsh 10,000/-, lkn yakicheleweshwa hadi ikafika wiki 1 itakuwa Tsh 15,000/-
2. Kungonoka machakani, magofuni ama majumba ambayo hayajakamilika. Hii ndiyo huduma inayofuata kwa ukubwa wa gharama baada ya ile ya mkopo (kati ya Tsh 5,000/- mpk 10,000/-). Hapa sababu inayotolewa ni kwamba wawili hao wamejitolea kula nje ili hata hela ya gesti za uswazi (Tsh 3,000/- mpk 6,000/-) iende kwa anayelipwa. Ukiongeza na malipo yake stahiki ndiyo inafikia gharama ya Tsh 5,000/- mpk 10,000/-.
3. Kungonoka gesti. Hapa malipo kwa mgawa game ni kati ya Tsh 2,000/- na 5,000/-. Sababu kubwa ni kwamba muomba game anadai amegharamia chumba ndiyo maana malipo kwa mgawa game yanapungua.
Hali ikibana watu wanabuni nnamna ya kuishi. Huku ndiyo uswahilini bwana!