Dada zangu,kaka zangu na wadau wote wa Jf,naombeni mnisamehe,nimekuwa kihelehele kutafuta wachumba mitandaoni hasa kwa humu sasa nimejifunza.
Naahdi kurudi shule tena,na kamwe sitapost thread...
A mistake is an accident. Cheating and lying are not mistakes, they are intentional choices. Stop hiding behind the word mistake when you get caught.
Kukosea ni ajali. Kudanganya kimapenzi au...
Pamoja na mapungufu ya kawaida ya kibinaadamu bado wanapa heshima kubwa sana dada/mama zetu. Mwanamke atahakikisha mume,watoto na wanafamilia wanaishi vizuri kwa kuwapa kile kinachostahili...
It is Good Friday,
DASH DASH VACATION
I have just landed from Joberg and guess who met Kasie on a flight..... Henry King. ........ oooooooooo
Don't ask where I am right now cause am kidnapped by...
Hi guys, Nina kitu kinanikera kwa mshikaji wangu, nahitaji ushauri wenu mana najua ninayekereka si mimi tu
I have a best friend, yuko helpfully when it comes to problems,muwazi kwangu na kiukweli...
NAMPONGEZA ALIYEANDIKA HILI: SHARE!
Mke na Mume asubuhi moja wamegombana ndani ya nyumba. Mwanaume anadai kwamba mkewe ndio mwenye kosa na anapaswa kumuomba msamaha. Mke hakuona ni issue kwake na...
Siku zote napata mschana nampendaaaa nae ananipendaa sana,nakuwa siwez kukaa bila kumfikiria nae hawez kuish bila kuniwaza kias kuweza kuongea masaa na masaa kila siku na kila mda,ila ikifika mwez...
hichi kitu kinaniumiza kichwa kweli. maana naona asilimia kubwa ya jamii za kiafrica sijui ulaya na Asia.. ukiwa na Dem unakuwa ww ni wa kumhudumia kila kitu mfano umemtoa out mkiagiza mhudum...
Wanaume wengi tunawalaumu wanawake bure ila kiukweli wanaume wengi hawawaridhishi wanawake wao ni ma selfish, maana dk 2 nyingi kushusha wareno wakati wanawake si chini ya dk 12 ndiyo aangue...
Hello,
Najitokeza hapa kutafuta mwenza/ mchumba wa kike kwani naamini anapatikana popote pale.
Napenda mwenza huyo awe dini yeyote mwenye kumjua Mungu, awe mkweli na mwenye melango ya maisha...
Eti wakuu kuna ukweli kwenye hili?
1) Kwanza kabisa ni wavivu kwenye swala zima la mahaba, eti wanadai wamechoka na mihangaiko akirudi nyumbani yeye anakula tu kisha analala, hapo ujue ndio...
Jamani nimeletwa na serikali ya Tanzania kuja kusomea magonjwa ya macho hapa, Tulipelekwa field sasa nimekutana na Professor Mghana, ni kijana, mzuri, nikimuona ninachanganyikiwa.
Kibaya zaidi...
NAWAHAKIKISHIENI duniani hakuna jambo jipya, mambo yanajirudia rudia kwa staili tofautitofauti tu. Kuna jambo limenitokea na baada ya kutafakari nimekubali kuwa hakuna jipya duniani nawaambieni...
Nilikuwa na mkewangu nimpendaye sana, naye akanipenda vilivyo.kwa ufupi tulipendana mpaka majirani na ndugu wakatupigia mfano
Lakini dunia hii haikosi wabaya, watu wenye kijicho wakaenda kwa wakwe...
Kutokana na matatizo mengi yaliyonikuta mpaka sasa nahangaika nimekuja na swali ambalo hata sie wengine kati yetu hatujui ambalo linahusu talaka.
Swali langu ni: Mume ambaye amekupa talaka ya...
Iko hivi!:-
Nina age ya 30 hivi na nimfanyabiashara niko Dar katika age ya ujana nilishapitia relation kadhaa sasa pia katika age hii ya utu uzima nimeshapitia relation kadhaa, sijapanga kuoa...
WHAT THINGS MAN NEED TO KNOW
Ladies wanapenda yule mwanaume ambae romance yake inapelekana nakutoa,
Yule mwanaume anakupeleka kwa show alafu ile kitu yoyote unakula kwenye hiyo show he...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.