Naomba msaada wa kiafya. Kuna tatizo endapo unafanya mapenzi na mke wako mara nne tu kwa mwaka. Hili tatizo ninalo mimi ni msalaba nilionao kwa mke wangu ni mgumu wa kutoa penzi. Kila siku amechoka kila siku akilala hataki aguswe. Mpaka nimekata tamaa sana sana kwa mwaka nampata mara nne au tatu. Namshawishi kila namna kwa kila maneno lakini ni balaa tupu. Mpaka huwa nawaza kwa nini nilioa na kufunga naye ndoa. Kuna kipindi nakata tamaa naendelea kumuomba mungu anisaidie.
Msaada wenu!!
Msaada wenu!!