Mapambano dhidi ya hisia za mapenzi haramu

Baba jayaron

JF-Expert Member
Jun 29, 2015
4,277
5,838
Habari,

Leo naomba tuliangalie hili katka hali isiyo ya kawaida jinsi mtu anavyoweza kupambana na hisia za kufanya mapenzi yalio haramu.

Based on true story.
Balehe imenianza nakumbuka nikiwa na 14yrs niliota ndoto nafanya mapenzi na mwanamke nakujikuta nimetokwa na manii, raha niliyoisikia hapo iliniladhimu jioni usiku niitafute tena nikiwa nimelala.

Ikawa mtindo nalalia tumbo alafu navuta hisia za kufanya mapenzi huku nikiingiza uume wangu mapajani huku nikiubana nakuusugua na mapaja mpaka na maliza mshindo hata nakuendelea.

Akili yangu ilivurugika ikawa kila siku nawaza ngono nikihangaika kutafuta picha za ngono ili nijihudumie ikawa mchezo mpaka kuloose darasani hata nikajawa na hofu kuwa na msingi nikawa sijiamini kwa ujumla.

Sikumbuki ni lini ila kwakua mi ni mtoto wa kiume nyumbani ilikua wakija wageni wa kiume basi nitalala nao chumbani kwangu, sasa kutokana ni ile hala ya kufanya kale ka mchezo kimawazo au kifkra (musterbation) kameshanitoa ujasiri wakufanya mapenzi halisi, basi mimi sitolala usiku nitahakikisha amepitiwa na usingizi ala niaze kumshika shika makalio kama ni mlalaji basi ninaweza nikamshusha nguo yake.

Tendo hili nimekua nikilifanya kwa siri saana, ikifikia hatua nikaambiwa kuna pornography za wanaume kwa wanaume basi nikaanza kugoogle laaah niliona jinsi mwili wangu ulivosisimka kwa hisia kali za mapenzi basi nikaanza kujichua kwakutumia picha za ngono za Magayz hata nilikua nikiona porn za kawaida yaani mume na mke kwangu si kitu tena naona kero kabisa.

Sasa imefikia hatua nikiwa sehemu yeyote mwanaume mwenzangu akipita miblazima nimwangalie makalio yake nakuyavutia hisia au nikimeona mwanaume mwenye mwili wa mazoezi nao nawaona kama ni gayz kwasababu ndio wengi wanao act gayponography, au wanaume wanajiremba sana kama kuweka wevu,hereni,kuvaa modo jeanz na wanaume weupe.

Umri umeenda inabidi niwe na mwanamke, sasa nikifanya mapenzi na mwanamke hisia hazidi hadi nivute picha ya kumuingilia mwanaume mwenzangu ndipo nitapata hisia la sivo sitoendelea kusex na huyo mwanamke.

Nilichoweza kujizuia nikukaa mbali na mashoga hata kujenga nao chuki nikiwaona ila tatizo ni kwamba tendo la ndoa lilotawala akili,mawazo, na maisha yangu ni kujamiiana na mwanaume mwenzangu.

Ninasali sana ndomana sijawahi shiriki tendo la ndoa na jinsia yangu kwani kwangu ni dhambi kubwa saana kwa Mungu na jamii yangu. Hivyo ni pambano nalopigana nalo hadi kufa nami nitapata familia yangu na nitaitunza vyema isipite nilipopita

Funzo:
Tuwe makini na malezi ya watoto wetu hasa wa kiume kipindi cha balehe huwa na changamoto sana.Kumtukana matusi mtoto wa kiume kama mseng*,khanisi, eti mwangalie kama mwanamke, kumjaribishia vitu vya kike nk.

Kwa mashoga woote duniani hakuna linaloshindikana kujizuia ukiamini Mungu yupo utakua na hofu nae hivo hautoruhusu hisia zikutawale.
Ninaimani nitashinda.
 
Ni vizuri kwamba umetambua kuwa hilo ni tatizo, Solution yake NI WEWE KUBADIRI MINDSET.

Brain yako uliiwire wewe mwenyewe kupenda wanaume sasa inabidi Uire-wire kupenda wanawake, Kila Saa Jaribu likija la kutamani wanaume Jiambie kuwa HII SIYO NATURAL, HII SIYO KWELI YA KIMAUMBILE, KWELI NI MWANAUME KWA MWANAMKE.

Halafu wakati huohuo achana na Picha za Ngono, hizi zinapelekea Brain idanganywe, hivyo inapokutana na Stimulus ya ukweli inashindwa kupick up.

Cha msingi hapo ni kubadiri mtizamo tu
 
Kuna kitu umeongea hapo very very interesting
unasema unawachukia sana Gays huku hata kku sex na mkeo
unawaza gay sex.....

wataalam wanasema watu wanaopenda sana kuonesha chuki kubwa kwa gays hadharani
wengi wao ni gays in secret...

nimeona connection hapo
Kuna mtu aliniaminisha hapendi kweli Porno kumbe ni addict. Naoanisha na hii kauli yako.
 
Back
Top Bottom