Inakuaje wanawake wanaozidi miaka 18 hadi 40 bado wanaishi kwa wazazi!

wakuu tupunguze kuwagegeda tu na kuwa dampo ..muda wa kuwaweka ndani . ntatangaza ndoa muda sio mrefu .
 
Sasa wewe inakuhusu nini? Hayo ni maisha yao waliyoamua kuishi.
 
wanao watetea kuna maslahi binafsi zaidi ya kuwasaidia ..
 
Form four kamaliza na miaka 18 or 19 probably kafeli unataka hapo hapo akajitegemee...

Chuo kamaliza na miaka 24,25 hajapata kazi au mume unataka akajitegemee immediate ly....

Kwa mfumo Wa maisha ya sasa jinsi vile Hamna fomular labda ungesema kuanzia 24 na kuendelea hvi ila 18 paka 24
 
Duuh!!hii ni hatari
Yan wa2 mnakaz ya kuwaza ya wenzenu tuu(private issue)pole zenu!!
 
Miaka 18 ujitegemee kwa kipato kipi?
Wachache sana kwa umri huo wanakua washaanza kutengeneza pesa
 
Ukiishi bila kuangalia fulani/jirani au rafiki anaishije, utakuwa mwenye furaha na amani sana. Kila familia ina utaratibu wake, wewe ni nani kuuliza jinsi watu wanavyoishi na kuwapangia jinsi ya kuishi?
 
Back
Top Bottom