Alijaribu mara 1 na sasa kanogewa NIMSAIDIEJE? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Alijaribu mara 1 na sasa kanogewa NIMSAIDIEJE?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Emasa, Nov 7, 2010.

 1. Emasa

  Emasa Member

  #1
  Nov 7, 2010
  Joined: Nov 14, 2008
  Messages: 38
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Ninae rafiki yangu ambae ameamua kuweka wazi swala linalo msibu,Alifanya
  Mapenzi na rafikie wa kiume(hawakukusudia) lkn katika michezo ya kushikana shikana
  Walijikuta wanaishia kufanya mapenzi(akiwa hajafikisha miaka 20) anasema alipata maumivu
  Lkn tangia hapo mpk leo(ana miaka 27) hisia zake kimapenzi kwa wanaume ni kali kuliko kwa wasichana
  Na anaomba msaada TUTAMSAIDIAJE?
  Kwa maelezo yake hajarudia tendo hilo lkn ndo hivyo anawa feel wanaume na hata akiwa na wasichana
  Anakua haridhiki na tatizo kubwa limekuja sasa kwa sababu anataka kuoa na hajui afanyeje ili awe
  Kawaida.....!!
   
 2. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #2
  Nov 7, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Huyo BWABWA! M-PM Boflo au Mama Big
   
 3. nyambari

  nyambari JF-Expert Member

  #3
  Nov 7, 2010
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 324
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  mama huruma huyoooooooooooooooooooo
   
 4. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #4
  Nov 7, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  mimi nilivyoelewa ni wanaume wawili walifanya malovi dovi.....mmoja anataka kuoa lakini anajisikia kupenda sana wakaka
   
 5. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #5
  Nov 7, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  mpe pole sana
  ebu jaribu kwenda hospitali na kwa washauri m sure watajua jinsi ya kuwasaidia...
  pia usisahau maombi kaka .uyo ni shetan anataka kukutawala.pls .ebu wai maombi.....
  polen sana
   
 6. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #6
  Nov 7, 2010
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,638
  Likes Received: 1,427
  Trophy Points: 280
  duuuuuuuuuuh jamaa kashanogewa huyo halafu anatudanganya mara moja tu... utakuta ndo mchezo wake huyo
   
 7. GFM

  GFM JF-Expert Member

  #7
  Nov 7, 2010
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 708
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mtoto unajua kusoma btwn the lines ............ jamaa sio risk tena huyo .........
  Preta mmenyanganywa mmoja hapa ........:thinking:
   
 8. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #8
  Nov 7, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,895
  Likes Received: 416,601
  Trophy Points: 280
  Ukiisha onja nyama ya bata huwezi kuacha sasa atakuwa bisexual tu na hakuna jingine la kumsaidia......hata akifanyiwa operesheni haiwezi kuondoa shauku alionayo kwa wanaumme..........na wanaume wapo ambao wakimwangalia tu usoni wanajua ipo dili hapo sasa atawakwepaje?

  Aoe lakini ajue ana kamtihani hapo.............kwa kihisia za kimahaba.......asingejaribu kabisa lakini kujaribu kunaonyesha tayari alikuwa na mweleko huo ila alikuwa hajapata wa kumshindilia mzizi wa uhakika............au niseme kumshawishi kuelekea huko?
   
 9. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #9
  Nov 7, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  kila kukicha matatizo sisi tutamsaidiaje kama yeye asipoikataa hali hiyo.na ilikuwaje mpaka wakajikuta wamefanya mapenzi na huyo rafiki yake ,swala ni kuwa walidhamilia kujaribu
   
 10. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #10
  Nov 7, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 157,895
  Likes Received: 416,601
  Trophy Points: 280
  Kabla sijasahau......................mshauri muathirika huyo asome kifungu hiki cha maandiko matakatifu

  LEVITICUS 18:22 "No man shall have sexual relations with another man. God hates that."
   
 11. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #11
  Nov 7, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  jamani jamani....ni nani huyo tena....:confused2:
   
 12. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #12
  Nov 7, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Yalaaa... sijui imekaaje, akimaliza huwa anajinusa? dah, haya mengine yanatisha:nono:
   
 13. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #13
  Nov 7, 2010
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  alidhamiria kusukumiwa hiyo nyama nchi 6.kwann wanaume washikane shikane au kwann acngemchapa nao yy.
   
 14. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #14
  Nov 7, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  upumbaffffffffffffffffff hta shetani atakukana
   
 15. D

  Diana-DaboDiff JF-Expert Member

  #15
  Nov 7, 2010
  Joined: Jul 13, 2009
  Messages: 380
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Sasa unaoa ya nini nawe unapenda kuinama?
   
 16. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #16
  Nov 7, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  nii LAAAAANNAA:A S angry::A S angry::A S angry::A S angry::A S angry:NA MUNGU ANAMNGOJA HATA KAMA KAOONJA KWANI KAAMBIWA NI MCHUZI HUO AONJE HUO NI MCHUZIII???????:fencing:
   
 17. k

  kisukari JF-Expert Member

  #17
  Nov 8, 2010
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,754
  Likes Received: 1,039
  Trophy Points: 280
  kama hana interest na hayo mambo,sifikirii kama angekubali kushikana shikana na mwanaume mwenzie,angehisi uncomfortable tangu mwanzo.Inaonyesha hisia za mwanamme mwenzie zilikuwepo na akaona bora ajaribu,matokeo yake ndio akazidi kuchochea.na hata akioa atamtesa huyo mke wake,na kutafuta mwanamme wa pembeni.kwani wapo wanaume wengine wanafanya hivyo.wanaoa ili kufurahisha jamii na huku wana dume mwengine wa pembeni.kama yupo tayari kuacha huo mchezo,ajaribu maombi na asioe kwa sasa.
   
 18. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #18
  Nov 8, 2010
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Mpe pole lakini aliyataka mwenyewe cha msaada hapo aende kwa KAKOBE akapigwe NENO.
   
 19. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #19
  Nov 8, 2010
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  alikula aliliwa?
   
 20. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #20
  Nov 8, 2010
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Hujaacha tu kukonyezae...
   
Loading...