Nakumbuka nikiwa mdogo ndugu/wazazi kwa namna moja walininyanyasa sana kwani kuna vitu kama mtoto/mdogo walikuwa na uwezo wa kunisaidia ila walinipuuza, hali hiyo iliweza kunijenga nikapambana kwa...
Jamani wanaume mliopo Dar es salaam tunaomba mtuhurumie sisi tulio mikoani, kwani ukiwa na mpenzi wako akikuaga anaenda Dar kwa ndugu yake na akikaa angalau mwaka mmoja ujue akirudi sio wake tena...
Mara nyingi huwa wana papuchi hot & tight...wako vizuri kunako sita kwa sita...wanavutia hasa wakivaa skin tight ndefu ...kuna kahaba mmoja nilimnasa mitaa ya kahumba morogoro na alkuwa na sifa...
Ilikuwa ni siku ya Alhamisi, mpenzi wangu alinipia simu kwamba anahitaji tuonane. Kwa kweli alinishtua sana, nilijua labda amepatwa na tatizo. Nilipofika kwake aliniambia kwamba anahitaji kutoka...
Kuna hii habari inatatiza, wakati mwingine huyu binti anakuwa karibu na mimi, wakati mwingine hataki hata kuniona hii inajirudia rudia sana.
Nipeni ushauri.
Umri awe miaka 18-25 awe na hofu ya Mungu.
Asiwe mwembamba
Elimu yoyote
Mimi mrefu mwembamba
Nafanya kazi
Elimu yangu form four but nina ujuzi
Njoo pm
Kama alikuhusu pita kimya usitoe kejeli
Sikutegemea wala sikufikiria kumsaliti mke wangu lakini kwa bahati mbaya yametokea yote ni visawishi vya shetani na tamaa mbaya za kimwili.
Nimejikuta nikizoa gonjwa baya sana kwa dada ambaye...
Mkiolewa mnatulia sana kwenye ndoa zenu mnajituma sana kufanya kazi na kutunza familia na wala sio wavivu kama wahaya ambao wakiolewa kutwa hushinda vibarazani wakijiremba na kujichubua.
Dada...
Wadau habarini za asubuhi,
Ni jinsi gani ninaweza kufanya engage party ndogo nzuri,ambayo itahusisha ndugu wa pande zote (me&ke) na marafiki wachache bajeti yangu milioni moja na nusu am...
Mimi ni bazazi mzuri tu,napenda wanawake na napenda kuanzisha mahusiano mapya karibu baada ya muda mfupi bila kujali kama ya awali yamevunjika au bado yapo.
Sometimes napata huruma ila nashindwa...
Kuna kautafiti nimefanya nikagundua wanawake ni watu dhaifu sana na wanahitaji elimu ya kujitambua la sivyo wataendelea kutapeliwa na wao wakiamini ni fursa wanasaka.
wasichana wengi sijuwi...
Msichana ana miaka 22, anafuatwa na mvulana na kuambiwa kwamba anataka kuolewa, mvulana yupo kamili kajiandaa na anamaanisha, msichana anakataa kwa visingizio vya kipumbavu mvulana anaachana nae...
Leo ningependa kuongelea suala la mwanamke mke wa mtu kuwa na tatizo la aidha kuchelewa kupokea simu au kutokupokea simu,
Nimejaribu kufatilia kabla hajawa mke ukimpigia simu faster anapokea...
Au kwa sababu yeye ni mshirazi mimi ni mweusi tii...,au kwa sababu anajua nia yangu ya dhati ?honestly I swear jahazi langu ndo limetia nanga ,jinsi alivyokua na roho mbaya hata shavu la kipochi...
Maybe this decision was a mistake. You probably don't care what I have to say. But it's been heavy on my mind for months now. Guess I'm trying to clear some mental space. I would love to talk to...
Kuna kijana alikua anajua kuwa mke wake
anatoka nje ya ndoa basi akamwuliza mke,
mkewe akakataa, akamwambia baba yake
akaambiwa na babaake tulia mwanangu ndoa
zina mengi! akawa kila siku...
Wakuu msaada.
Mimi ni kijana wa kiume mwenye miaka 20 sijawahi fanya mapenzi tangu nizaliwe na lengo langu ni hadi ndoa kutokana na imani yangu i mean ulokole.
Lakini nowdayz nimekuwa katika...
Imeshakuwa mara nyingi sasa hawa jamaa wananiharibia mission zangu.
Yaani utakuta siku hiyo nimeona mtoto mkali maeneo flan sasa ile namlia mingo ili niweze kusema nae mara bodaboda huyu hapa...
I'm a man 33 yrs of age, currently working and living in Dar. I'm looking for a Christian female life mate, living or wiling to live in Dar, preferably employed of age ranging from 26-28. A...
MAISHA NI MAIGIZO, JIULIZE WEWE UNAIGIZA NINI?
Maisha ni maigizo.Ukienda kwenye msiba, hata kama mtu sio wa karibu kwako, ni lazima utakuwa na huzuni.
Hata kama una furaha kiasi gani siku hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.