Wanaume kukosa uvumilivu wakati mke akijifungua na kuchepuka

mama la mama

JF-Expert Member
Sep 27, 2013
304
152
Hahaha!

Hivi nyie baba zetu mnashindwa kabisa kuvumilia mkeo akijifungua lazima uchepuke? Huoni raha kaongeza baraka kwenye familia wewe full kufanya mapenzi na michepuko.
 
Kapate mbinu kwa bi.Lara za kumtuliza mumeo NA si kuja kusumbua taasisi...

Unadhani ukipata ujauzito ndo mumeo anageuka mtawa...akili Ku mkichwa ili usije kuivunja ndoa yako kwa mikono yako mwenyewe
 
Ni dalili tu kuwa hupendwi kwa dhati...Wengi tu wake zetu wamepitia stage hiyo tena ndo wakati wakumfariji na kuongeza upendo kwani Mama ametoka sehemu hatarishi mno Leba si mchezo wengi wamepotezea maisha pale...Sasa wewe ukiona uko uzazi na jamaa ako anapiga nje ujue hakuna mapezni ya dhati hapo...Ila na ndege wafananao huruka pamoja...
 
you can say that again...
 
Kipindi kama hicho mumeo akichepuka ujue una shida.. huu ndio wakati wengine tunakuwa watulivu sana nyumbani kwani muda wote mwenzio anakuwa anakuhitaji.
 
Kipindi kama hicho mumeo akichepuka ujue una shida.. huu ndio wakati wengine tunakuwa watulivu sana nyumbani kwani muda wote mwenzio anakuwa anakuhitaji.
Inawezekana mume ndio ana shida. Kuhukumu mke aliyetoka kujifungua kuwa ana shida, mmmh...leba sio mchezo asee!!
 
Back
Top Bottom