Naomba msaada wa kiafya. Kuna tatizo endapo unafanya mapenzi na mke wako mara nne tu kwa mwaka. Hili tatizo ninalo mimi ni msalaba nilionao kwa mke wangu ni mgumu wa kutoa penzi. Kila siku...
Hahaha!
Hivi nyie baba zetu mnashindwa kabisa kuvumilia mkeo akijifungua lazima uchepuke? Huoni raha kaongeza baraka kwenye familia wewe full kufanya mapenzi na michepuko.
Jamani mwanaume unatia aibu romans hauwezi, kazi nayo huwezi,ukiingia dakika sifuri chali.Mapenzi ni raha na sio karaha ya kuchafuana kwa bao la dakika sifuri, khaaa! Stukeni jamani.
Wapo mtakaoniita mbaguzi ila ukweli utabaki nyumbani ni nyumbani lazima upapatie kipaumbele. Kumekuwa na wimbi kubwa la vijana wa kisukuma kuoa wanawake wa makabila mengine na kutupilia mbali...
Wakuu,
Nahitaji msaada wenu wa mawazo. Hapa ni kwamba wife ameanza kufanya mazoezi makali ya kungfuu na judo karate mpaka ananitishia amani mpaka nafikiria kusepa zangu na kumuacha, lakini...
Wataalamu huwa wanashauri njia bora
ya kuepusha balaa kunapokuwa na sexual tension kati ya watu wawili
ni ku avoid kukutana....sasa najiuliza what if huwezi
kuepuka kuonana na mtu huyo,
na tayari...
Baada ya mwezi kupita mimi na wife tukiwa tumetengana nilipigiwa simu na Afande flan mwenye cheo cha Inspector na kuniomba nifike Kesho yake saa nne hasubui, bila kuchelewa nilifika kumbe wife...
Hey hey good people,
Leo ningependa tujadiliane kuhusu usaliti kwa njia ya mtandao na kanuni zipi ambazo zinaweza kutumika kuashiria usaliti kwa njia hio.
Kama tunavyotambua usaliti upo katika...
Habarini,
Hivi mwanamke anapokutosa kila apatapo kazi na kurudiana na wewe kila anapopigwa chini maana yake ni nini?
Kwa ufupi mimi nilianza mahusiano ya karibu na dada mmoja tangu tupo chuoni...
KUPIGWA, kubakwa na msururu wa wanaume bila kupata chochote ni baadhi tu ya madhila yanayowakumba wasichana na wanawake wanaofanya biashara ya ukahaba katika mitaa mbalimbali ya jiji la Dar es...
Huu ni utafiti tuliofanya mi na rafiki zangu kadhaa,whether ukatae au ukubali ila ukweli utabaki ndio huu na nimeandika kitu nilicho na imani nacho na nakijua.
Nimefanya mapenzi na wanawake wengi...
Ile misemo mizuri na mitamu kama asali kuhusu ndoa kwangu ni kama hadithi fulani hivi. Wakati naingia kwenye mahusiano ya ndoa nilikuwa very optimistic, sasa hivi nimenywea, sina hamu tena.
Mwaka...
Nimefuatilia sana msichana akishaingi chuo tu wanajiona matawi sana yani wananata sana ukitaka tu kumtongoza ni shida, appointment zake ni viwanja vikubwa kubwa alafu hataki mpaka umfuate na gari...
SEVEN KEY FACTORS TO KNOW IF A WOMAN IS GOOD IN BED (A MUST READ)
One of the biggest let downs for a guy is to find that the girl you have been chasing for months is a total let down in bed and...
Kwanza haijawahi kunitokea,huu ni ukweli.Alivyoniambia nilihisi miguu ikilegea! Nilikutana na dada huyu akaniambia ni Mkenya. . . Akaniuliza kama ni mwenyeji hapa Mwanza nikamwambia ndio...
Ukichekewa na mashosti wake kama hivi, basi ujue umelamba dume.......!
Wanasaikolojia wakiongozwa na mwanasaikolojia Benedict Jones wamegundua kwamba, mwanamke akitaka kupima uzuri wa mwanaume...
Nina msichana wa kazi anayemsaidi mama Ngina shughuli za nyumbani, tumeishi naye kwa takriban miezi mitatu sasa, ni binti wa miaka 16. Lakini tangu aje amekuwa akisumbuliwa na maumivu makali sana...
Wakati matangazo ya kuongeza nguvu za kiume na ukubwa wa uume yakiongezeka Tanzania. kumbeni tatizo hili ni dead serious kwani wanaume wa Tanzania hatumo katika top twenty ya nchi zinazoongoza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.