Msaada: Wife kaanza tizi la kungfu na judo! nataka kusepa

K 4 LIFE

JF-Expert Member
Jul 21, 2015
2,567
416
Wakuu,

Nahitaji msaada wenu wa mawazo. Hapa ni kwamba wife ameanza kufanya mazoezi makali ya kungfuu na judo karate mpaka ananitishia amani mpaka nafikiria kusepa zangu na kumuacha, lakini hajaniambia kwanini anajifunza makaratee na judo, bora angenijulisha kwanza.
 
Huyo ni Mzanzibar umesahau maana hawa Ccm wanazingua usihofie mkuu anajiandaa ikitokea akaenda kwao awe vzr
 
Ungekuwa mwenyeji humu ningekuelekeza kwa mtu aliyewahi kuleta uzi kama huu miaka kadhaa iliyopita
 
Hapo nyumbani jua wewe ni jipu soon atakutumbua.. Endelea kutoa mimacho tu
 
wakuu naitaji msaada wenu wa mawazo hapa ni kwamba wife ameanza kufanya mazoezi makali ya kungfuu na judo karate mpaka ananitishia amani mpaka nafikiria kusepa zangu na kumuacha, lakini hajaniambia kwa nini anajifunza makaratee na judo, bora angenijulisha kwanza
Kama amekushinda mlete kwangu aisee akae japo mwezi mmoja nitakurudishia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom