bambi_
Member
- Dec 16, 2015
- 52
- 19
Sio kila wakati mwanaume anataka kufanya mapenzi na sio kila wakati mwanamke hataki kufanya mapenzi.
Hicho ni kitu nmejifunza hivi punde. Inasemekana kuwa wanawake hawapendagi ngono sana ila ni uongo. Kuna mida ikifika mwanamke anawaka moto na anataka kulala na mtu vibaya sana.Lakini pia tunajua kuwa wanaume wanapenda ngono sana ila ukweli ni kwamba kuna mida hataki kusikia hayo mambo. Kuna wakati hata ukimkalia uchi hajiskii chochote.
Wanawake huwa inatokea hivyo katika siku chache(4) za kila mwezi na kama wewe ni mwanaume mwenye hekima ukizijua hizo siku za demu wako ukalala nae hapo basi sex inasemekana kuwa nzuri sana kupitiliza siku zote ila muwe waangalifu sana katika hizo siku mimba hutungwa sana katika hizo siku ndio (danger days)
Wanaume huwatokea (hawataki sex) mara nyingi wakiwa na stress sana au wakiwa na kazi za muhimu (busy) unakuta hataki kabisa. Au akiwa katoka ku-sex sana muda mfupi uliopita.
Duniani kuna sex addicts na huu msemo nmejifunza kwa couple fulani ambayo the girl ni sex addict na the boy ni normal. Hiyo couple imeonesha utofauti mkubwa kwani huyo dada anapenda ngono kila saa na huyo kaka hapendi ngono hiyo couple ime-undefine law yakuwa wanaume wanapenda sex na wanawake hawapendi sex.
So. Ni vema kujua ni wakati gani mwenzako anataka ngono au hataki na uheshimu hayo maamuzi. Kama kunakitu cha kuongezea juu ya hili ni freshy coz nmetoa kichwani kwangu na sidhani kama nimeandika kila kitu there probably people who know more than me ila according to me nnajua haya machache.
P.S: Just Sharing.