MPO?
Je, ushawahi kujiuliza ni lini mnaweza kugegedana na mjienjoy wote?
Wajuzi wanasema kwamba 5:48am ndio muda bora wa kujirusha.
Hii ni sababu kiwango cha testosterone kawaida huwa kiko juu...
Habarini wana jamii,
Ndoa ni muunganiko wa watu wawili yaani mke na mume. Ni vizuri unapozungumzia ndoa tukagusia na mwanzo wake. Mwanzo wa ndoa umenakiliwa katika Mwanzo 2:23-24: “Adamu...
Wa salaam, Binafsi nimekuwa nikijiuliza hivi kwanini mwanaume akishikwa au mfano mkiwa kwenye foleni ukamsogelea mwanaume sehemu ya nyuma ghafla huwa anashtuka?
Habarini wadau,
Kuna hizi tabia za kipumbavu ambazo unakuta mwanaume anazifanya halafu haipendezi aisee,tena ni tabia za kikekike na za kitoto. Wewe kama mwanaume na sio mvulana acha kufanya...
Habari JF,
Kuna dogo mmoja wa darasa la sita kaja kuniuliza swali la sayansi kuhusu mfumo wa uzazi, sasa wakati mimi najifikiria nitamjibu vipi kutokana na swali lenyewe limekaa kiutu uzima...
Namna ya kuwa mke mwema
1: Kuwa mnyenyekevu (usimjibu vibaya au kumpandishia sauti mume wako ni isahara ya kukosa heshima kwa mmeo MITHALI 15:1
2: Usitoe siri za ndani za udhaifu wa mume wako...
Topic: Nimempa Mimba mke wa mtu
Wadau,
Tangu nasoma sekondari miaka takribani 13 iloyopita huyu binti alikua ananipenda sana....Lakini mimi nilikua mwoga na sikuwa tayari kuwa nae kwenye...
USICHEZE-CHEZE NA TENDO LA NDOA.
Kuna tofauti kubwa baina ya mwanamke na mwanamue wanapokuwa katika tendo la ndoa.
MWANAMKE:
1) Aibu huongezeka
2) Nguvu za mwili humuishia na mwili hulegea...
Umemtongoza msichana zaidi ya miaka miwili,anakataa tena muda mwingine alikuwa anawapa simu wanaume ambao alikuwa nao kuonyesha msisitizo kuwa hataki.
Inapofikia kugairi na kuacha kumfuatilia...
Morning JF,
Ingawa wanawake wengi wamekuwa wakiota kuolewa na matajiri au watu wenye uwezo ilhali yy mwanamke std7 na kwao maskini tegemea yafuatayo.
1)Mwanaume kukudharau na kuku
nyanyasa...
MAMBO AMBAYO MWANAUME ANAFANYA KUKUTEST KAMA MSICHANA UNAFAA KUWA MKE WAKE
1. Ukienda kwake ukutane na vyombo vichafu na nguo chafu zimejazana usidhani ni mvivu, ni kamtihani anakupa.
2...
Habari za wakati huu mabibi na mabwana, heshima kwenu.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, leo katika kutafakàri mambo mengi nimekumbukà mkasa uliompata kaka yangu hata kuepelekeà kifo chake...
Wakuu,
Mimi nimepata majaribu kidogo,nina binti wa kazi niliyekaa nae huu mwaka wa 12 sasa.Nilimchukua kwao akiwa bado binti mdogo sana wakati huo nikiwa na mke wangu na ndoa mbichichi...
Nahisi mimi sina MOYO bali nina memory card ambayo ni rahisi kuweka kitu na kukifuta muda wowote ukihitaji naweza nikawa na mpenzi nikampenda kupita maelezo na maisha yakaendelea vizuri tu...
Wasalaam vijana wenzangu.
Mada ilo hapo juu yahusika.
Katika ulimwengu huu ya science na technolojia, swala la kufanya ngono/ tendo la ndoa kabla ya ndoa limeonekana la kawaida sana.
Vijana...
Kwa Wale Walio Mapenzi na Walio Tupwa Nje ya Tasnia Hii ya Mahuba,Ni Zipi za Mapenzi Ulizo Zipenda na Unazipenda Ambazo Kwa Namna Moja Au Nyingine Waimbaji Hawaku Tengenezea Video?
Ni Nyipo Zipi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.