Natafuta mke wa pili

Sasa mkuu huko kufunga ndoa kimya kimya ndio nini ? Au nawe in selebirity ?
 
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27 ni muislamu na mfanyakazi katika sekta binafsi ,nina elimu ya chuo kikuu levo ya shahada,ni mrefu na maji ya kunde
Je huna watoto? Maana umetoa ban kwa demu umtakae asiwe na mtoto! Wewe je? Wengine hataka waume wasio na watoto hivyo hivyo
 
Nenda la imam kwa msikiti inaoswali,atakusaidia hili vizuri sana,kuhangaika huku kwenye mitandao sioni kama ni sahihi kwa mwislam safi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom