Mambo vipi familia nzima ya JF!!! Leo nina furaha kwanza coz of mwonekano mpya!
Story ipo hivi,Kuna Best yangu wa karibu kaniomba nimpe msaada wa mawazo nikaona si vibaya nikiwashriksha Great...
Salam wakuu,
Leo nimemkumbuka mwalimu wangu wa somo la siasa enzi hizo kabla ya kubadilishwa na kuitwa uraia. Alikuwa ananiambia 'Doa' tamaduni mbili zikikutanishwa moja yenye nguvu huimeza...
Salam a friend need advice..plz
..anasema he married a Woman
whom already have kids and he love
both of them...the kids and their
mum but the problem is these kids
hawana adabu kabisa...kama.kuna...
Kuna mzee mmoja miaka kadhaa iliyopita alifiwa na mke wake mwezi December ila kufika February (ndani ya miezi miwili) akawa ameoa. Je, hii ni sawa? Si kwamba ulikuwa mchepuko wake?
Ni muda gani...
Afrika ni miongoni mwa mabara saba duniani yenye wanawake wazuri na wenye mvuto.
Uzuri wa wanawake wengi kutoka bara la Afrika unatokana na rangi zao nyeusi za asili, japo wapo wengi wanatumia...
Habari wadau..
Am 25yrs ila namshukuru Mungu amenipa uwezo
Kuna hii kitu inanifanya nihisi wanaume tuko wachache na mda unavyoenda basi tutapungua kabisa kama si kuisha Ila wanawake wataendelea...
Heshima kwenu enyi wenye kuheshimiwa,
Nina omba mnisaidie kufumbua hili fumbo; ni kwanini hawa wakina mama wazuri wazuri hupenda kusema vijana wa kiume wananuka maziwa?
Nimekuwa nikilisikia sana...
Mkuu wa kanisa Anglikana agundua babaake sio Welby
Image copyrightGetty
Image captionKiongozi wa kanisa Anglikana duniani Justin Welby
Kiongozi mkuu wa Kanisa la Kianglikana duniani, ametangaza...
Kwa mujibu wa Profesa wa Afya chuo kikuu cha Oxford: Binti anatakiwa aoelewe akiwa na umri wa miaka 18-23.Na azae na kumaliza kabisa kabla ya miaka 35.
Mkivuka hapo utaolewa na mume wa mwenzako
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 32,ninaishi Dar,ni mtumishi wa serikali,natafuta mwanamke wa kuishi nae,awe na elimu ya chuo,awe na shughuli maalum,mwaminifu,umri kuanzia miaka 23-27,rangi...
Hello.
Hili swala la kukataliwa kimapenzi najua lipo sana kwa upande wa wanaume lakini sijui kwa upande wa wanawake linakuwa vipi.Au mwanamke anamuonaje, na anamchukuliaje mwanaume anayempiga...
Habari.
For married couples, mlifanyaje hadi mkaoa, zilikuja hisia za kuoa au mlishinikizwa na familia au umri au mlifuata tu utamaduni kua mwanaume lazima uoe kipindi flani katika maisha yako...
Hamjambo wadau,
Nimepitia mahusiano kadhaa ya kuwa na wanawake tofauti katika harakati za ujana, ila kuna haka katabia unakuta mwanamke wako anakutambulisha rafiki yake vizuri,lakini cha ajabu...
Hala!
Natumai mpo wazima kama title inavosema, je unawezaje kumwambia mumeo au mpenzi wako kama anaharufu mbaya ya mdomo na inakukera sana wakati wa tendo la ndoa?
AU VIPI NAWEZA MSAIDIA BILA...
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!
Kaka zangu leo ngoja niwape Lemutuz live straight talk nawaangalia machoni. Kupewa uwezo wa kuoa mnajionaaa vidumee kumbe...
Mkeo anaamka asubuhi anapiga mishe zake fasta kisha anakuuaga anaenda saloon au kwenye kikao cha kikundi, anaoga kisha anafungua kabati anavuta chupi ya kwanza anavaa kisha anaivua, anachukua...
Hayaa kumekucha tenaa. ....... asiye na mwana aeleke jiwe hehee heee
Kwa mtindo huu... 2016 iwe na miezi 36 looh ndo iingie 2017 hahahahhaa yaani ni raha juu ya utamu chungu zote zinatemwa ptuuu...
Mwanangu mimi ndie niliekutafuta nikakuweka tumboni kwangu miezi 9. Siku ya siku ilipofika nilitimiza wajibu wangu wa kukuleta duniani. Kulea ujauzito, kuzaa na kulea mtoto si mambo ya lelemama...
BABY NUMBER ONE.
Sio kazi ngumu sana kuelewa mwanamke anaekupenda kiukweli. Mwanamke anaekupenda kweli hawezi kukuomba wewe kitu chochote bali atachohitaji kutoka kwako sana sana ni muda wako na...
Habari za leo wadau?
=Kuna usemi usemao mwanamke ni kiumbe dhaifu kwakuwa mwanaume aliumbwa kwa udongo ila mwanamke alitokana na ubavu wa mwanaume.
=Swali langu linakuja hivi ni kwanini siku ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.