Huu si uanaume, ni aibu

Kule Kwetu

JF-Expert Member
Jan 10, 2016
3,157
1,893
Habarini wadau,

Kuna hizi tabia za kipumbavu ambazo unakuta mwanaume anazifanya halafu haipendezi aisee,tena ni tabia za kikekike na za kitoto. Wewe kama mwanaume na sio mvulana acha kufanya yafuatayo,tuwaachie warembo:-

1) Mwanaume kulalamika hovyo na kuzira wewe unalalamika halafu wa kike afanyaje? Ukipatwa na jambo si unagangamala mazee na sio kulialia? Mtoto mdg afanyaje? Acha hizo mambo.

2) Mwanaume kuhonga kisha kujutia/kulalamika. Sasa kama umeshamuhonga mwanamke kwa kuamua mwenyewe na aidha kakupa mzigo au hajakupa ukilalamika au kuhadithia masela inasaidia nini? Kuhonga ni kawaida na unapohonga basi fanyeni yenu na msichana wako kulalamika inasaidia nini mkuu?

3) Kutumia vijimaneno vya kike mfano:
-Haloo
-Mie
-Fyuu
-lol
-Badala ya "S" mwanaume anatumia "X"
-mara "Utantaka"
-Au kwenye Okay eti "K"

Msichana mwenzio anakutumia message mpaka unajiuliza aliyeandika ni yeye au mtoto wake au karibia anakuwa shosti?

Hapo hata ukitongoza mwanamke akakukataa ni haki kwasababu anakuona ni kavulana au wakike mwenzie.

4) Kuomba ushauri kwenye vitu vidogo na visivyo na umuhimu. Hii ni hapahapa jamvini kuna wanaume wanaomba ushauri kwenye mambo ambayo hata mtoto wa form two anaweza kutatua jambo hilo.

5) Kujisifia sanaa kwenye issue ambazo sio za msingi sana,mfano
-sura, umbo, kupendwa na mabinti, kugegeda n.k
Mimi nafikiri sifa tukufu kwa mwanaume ni kutafuta pesa na kumanage majukumu ya nyumbani.

Jistukie bana mkuu.

NAWASILISHA.
 
Kama siyo ya kike ni ya kitoto zaidi.

Mkuu inamaana wanawake na watoto tena "watoto zaidi" wanafaa kuwekwa kwenye kundi moja? Huu ni udhalilishaji wa wanawake yaan wanawake wanaotupatia raha na utamu unawaweka level moja na watoto? Please Waombe radhi
 
Mkuu inamaana wanawake na watoto tena "watoto zaidi" wanafaa kuwekwa kwenye kundi moja? Huu ni udhalilishaji wa wanawake yaan wanawake wanaotupatia raha na utamu unawaweka level moja na watoto? Please Waombe radhi
Unakifahamu kiswahili vizuri?
 
Uanaume ni kuhonga/kuhudumia. Mada za wavulana kulalamika wameombwa pesa na wapenzi wao zimeongeza sana humu, huwa sielewi wanalalamika nini wakati hilo Ni jukumu Lao tena hila haya wanakuja kuanika mambo yao humu. Wanaume tumebaki wachache wengi Bado ni wavulana
 
Habarini Wadau,

Kuna hizi tabia za kipumbavu ambazo unakuta mwanaume anazifanya halafu haipendezi aisee,tena ni tabia za kikekike na za kitoto. Wewe kama Mwanaume na sio mvulana acha kufanya yafuatayo,tuwaachie warembo:-

1) Mwanaume kulalamika hovyo na Kuzira. wewe unalalamika halafu wa kike afanyaje? Ukipatwa na jambo si unagangamala mazee na sio kulialia? Mtoto mdg afanyaje? Acha hizo mambo.

2) Mwanaume kuhonga kisha kujutia/kulalamika. Sasa kama umeshamuhonga mwanamke kwa kuamua mwenyewe na aidha kakupa mzigo au hajakupa...ukilalamika au kuhadithia masela inasaidia nini? Kuhonga ni kawaida na unapohonga basi fanyeni yenu na dem wako kulalamika inasaidia nini mkuu?

3) Kutumia vijimaneno vya kike mfano:
-Haloo,
-Mie....
-Fyuu...
-lol..
-Badala ya "S" mwanaume anatumia "X"
-mara "Utantaka"
-au kwenye Okay eti "K"

Dume mwenzio anakutumia message mpaka unajiuliza aliyeandika ni yeye au mtoto wake?au karibia anakuwa shosti?

Hapo hata ukitongoza mwanamke akakukataa ni haki kwasababu anakuona ni kavulaaana au wakike mwenzie.

4) Kuomba ushauri kwenye vitu vidoogo na visivyo na umuhimu. Hii ni hapahapa jamvini kuna wanaume wanaomba ushauri kwenye mambo ambayo hata mtoto wa form two anaweza kutatua jambo hilo.

5) Kujisifia sanaa kwenye issue ambazo sio za msingi sana,mfano
-sura, umbo, kupendwa na mabinti, kugegeda n.k
Mimi nafikiri sifa tukufu kwa mwanaume ni kutafuta pesa na kumanage majukumu ya nyumbani.

Jistukie bana mkuu.

NAWASILISHA.
 
Back
Top Bottom