Ni Nyipo za Mapenzi Ambazo Zinaukuna Moyo Wako Ila Hazitengenezea Video?

Yohana Kilimba

JF-Expert Member
Dec 25, 2012
8,105
5,629
Kwa Wale Walio Mapenzi na Walio Tupwa Nje ya Tasnia Hii ya Mahuba,Ni Zipi za Mapenzi Ulizo Zipenda na Unazipenda Ambazo Kwa Namna Moja Au Nyingine Waimbaji Hawaku Tengenezea Video?
Ni Nyipo Zipi Ambazo Laiti Kama Maneno yake Kama Yange Wekwa Katika Ungefurahi Zaidi?
Mie Wangu ni Barnaba Boy Uitwao Tulizana!
Wewe Je?
 
Modes:Naomba Mnirekebishie Heading Hapo Juu na Isomeke Hivi:"
Ni Nyimbo Zipi Zinazoukuna Moyo Wako Ila Hazikutengenezewa Video?"
 
Rangi ya chungwa - Nyanyembe Jazz Band

Nina mpenzi wangu Kibamba - Kungubaya

Lady in my life - Michael Jackson [Thriller album]
 
Modes:Naomba Mnirekebishie Heading Hapo Juu na Isomeke Hivi:"
Ni Nyimbo Zipi Zinazoukuna Moyo Wako Ila Hazikutengenezewa Video?"
Kwanini kabla ya kupost usiangalie kwanza kama ulichoandika hakina makosa ndiyo upost? why the rush???
 
Back
Top Bottom