Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Namste! I missed you guys! Nina mengi ya kuandika humu, tatizo muda. The luxury of time is what I dont have at all. Twende kwenye mjadala fasta. Sio uongo wala unafiki, wanawake wenzangu, wake...
26 Reactions
121 Replies
14K Views
Kwanini umpotezee mtu muda & gharama na thamani anayokupa huku ukijuwa fika kuwa "kijijini unapotoka una mtu uliyeandaliwa tayari"?
1 Reactions
10 Replies
2K Views
RIWAYA: HILA MTUNZI: George Iron mosenya MWANZO WA SHUBIRI Umri wao ulikuwa unakimbilia miaka ishirini na nane upande wa mwanaume na ishirini na tano kwa mwanamke, lakini sasa walikuwa wamegeuka...
5 Reactions
121 Replies
35K Views
Kuna watu wanafedhehesha sana, tena wengine wakiwa ni watu wazima waliofika miaka 40 au zaidi huku wakiwa wanaandika hovyo wakati wa kutuma ujumbe hasa WhatsApp au hata sms za kawaida. Mtu mzima...
10 Reactions
82 Replies
7K Views
Hii nimeiona sana huku uswahilini yani marafiki wakubwa wa mashoga ni wanawake wanaume ni kwa ajili ya kufanya nao lile tendo tu, hivi wanawake mnawapendea nini hao watu? Mnawaona kama wanawake...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Hili swala nimekutana nalo mara nyingi..Utakuta mzazi anapoulizwa kuhusu umri(sio tarehe ya kuzaliwa) wa mwanae anafikiria sana kabla ya kutoa jibu..Na hata jibu analotoa unahisi kuwa hana uhakika...
2 Reactions
33 Replies
3K Views
Nauliza hili kwa wenye experience.Hivi kwa mwanamke kuwa na maumbile makubwa ya uke inatokana na kufanya mapenzi sana au wakati mwingine inakua automatically. Kwasababu waweza kukuta mwanamke...
0 Reactions
30 Replies
6K Views
Habari za Jumapili wadau, Ni matumaini yangu kuwa mpo salama, na wale ambao hawapo vyema, basi Mwenyezi Mungu awatie nguvu. Hii mada ilikuwa inajadiliwa leo Radio One katika kipindi cha Familia...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Habarini wakuu, naomba mnisaidie maneno mazuri kabisa ya kuomba msamaha pindi nikifumaniwa, aidha kwa mdomo au meseji ya simu au barua. Maneno mazazuri kabisa ambayo yatasababisha nisamehewe...
1 Reactions
40 Replies
12K Views
Habari wana JF, Mimi ni kijana wa kitanzania niliyejitokeza kwenye jukwaa hili nikiamini kuwa upo uwezekano mkubwa wa kukutana na life partner katika jukwaa hili. Sababu kubwa iliyo nifanya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari Wana JF watu wengi wanajiuliza kwa nini vijana wengi wa kiume...
5 Reactions
92 Replies
14K Views
Morning MMU, Naombeni mawazo yenu kuhusu binamu yangu, kaolewa 6 yrs iliyopita, Hapo wanzo 2 yrs , shem alikua mkarimu , ana mapenzi na ndugu, anshiriki kwenyeshida na raha, after some time...
1 Reactions
56 Replies
7K Views
Hahahaaa... Hatukatai kuolewa ni haki yako, lakini jiangalie hata staha yako, wewe utakua ni mke gani ndani ya ndoa jamani, toka uzaliwe hukumbuki kanga wala sketi ulivaa lini na kama ulivaa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu, Baada ya kutoka church asubuhi hii,nikawa nimejipumzisha gheto kwangu,kidogo wazo la leo kupika likanijia,nikaenda gengeni kununua mazaga ya kupika,sikufunga mlango na ufunguo...
1 Reactions
44 Replies
5K Views
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Kumbe mada zangu mnazipendaa, nashukuru kwa hilo. Najiandikiaga tu. Nashukuru shoga angu nifah na...
17 Reactions
127 Replies
15K Views
Ndugu wanajamvi, Tokea niache pombe nina miezi miwili nimenawiri kila ninaekutana nae ananiambia aisee umenawiri.Halafu vile vile napiga show ya kibabe sana kwa shemeji na mawifi zenu. Ushauri...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Wanawake na wengine mnaowaunga mkono kwa hoja zao juu ya hili bandiko (hapa chini) acheni uhuni. Wanawake ndio chanzo cha haya yote, kujirahisisha, kutegeshea mimba, kutaka kuzaazaa tu na wanaume...
3 Reactions
45 Replies
5K Views
Habarivza hapa mmu. Yani mi siko poa kabisa naombeni hata kama mna kiji group cha watsupp amvacho kitanifurahisha kwa informative ideas zozote zile mniadd tuu asee.. Namba zangu ni ...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Hamjambo wandugu, Mwenzenu sielewi hawa wanaume wengine huwa wanawaza nini,mimi ni mke na mama wa watoto mapacha tatu yaani sita nimedumu kwenye ndo zaidi miaka kumi sasa,hatukuwahi kua na shida...
3 Reactions
60 Replies
6K Views
Wapendwa, Nimeonelea ni vyema tukajadili KWA MAANA YA KUSAIDIANA juu ya hili: Ninachokiamini mimi ni kwamba mwanaume ana ushawishi mkubwa sana katika suala zima la kufanya ngono. Uzoefu...
1 Reactions
515 Replies
57K Views
Back
Top Bottom