Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

UKITAKA NDOA IWE NA AMANI. Mwanamke amheshimu Mume wake asilimia 100%. Atapata huduma, Amani na hospitality ya juu kutoka kwa Mume wake. Mwanamke anayelilia 50/50 ndani ya ndoa ni kama mtoto...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau hamjambo? Niliwahi kuweka habari ya kuhusu Hela za matunzo ya mtoto wanakula na mwanaume mwingine Ni wiki ya Tatu sasa nipo hapa Dar kushughulikia mgogoro ulioibuka kati yangu na mzazi...
8 Reactions
47 Replies
6K Views
Katika kitu ambacho nimejaribu kupambana nacho nimeshindwa ni uzinzi, kutokana na mipango yangu ambayo nataka niitekeleze ndani ya miaka miwili inayokuja niliamua kujitenga na uzinifu na baada ya...
2 Reactions
57 Replies
7K Views
mhhh,nimesikia tu baadhi ya wanaume wakilalamika eti kondom zinaumiza mishipa ya uume, ,,,sa sina uhakika hivi ni kweli au uzushii tu
1 Reactions
94 Replies
25K Views
Mpaka Ilipofikia Mwaka 2012 Nilikua Simjui Mwanamke. Niliwahi Kuwa Na Girlfriends Ila Mfudundu Haukuwahi Kupita Ile Njia Takatifu. I Used To Do Romance And Stuffs But I Was Not Confident Enough...
12 Reactions
382 Replies
45K Views
Habarini, Kitambo sana sijaiingia humu nilipamiss sana hapa lakini majuku ndo yalinibana! Anyway ngoja niende kwenye mkasa wenyewe,nilikuwa na msichana fulani ambaye sahizi tumeachana kama wiki...
1 Reactions
71 Replies
10K Views
fsaaae
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Wadau, Nowdays vitambi vimekosea njia kabisa, yaani dada zetu wamebeba balaa, kutana na mdada nyuma flat alafu mbele kitambi kah! ila kuna wengine wenye vitambi vidogo dogo, vimetengeneza ka...
1 Reactions
184 Replies
25K Views
Mke na mme wamenasana jana wakifanya mapenzi guest house mjini Tunduma jana saa 8 mchana. Mahawahara hao kila mmoja ana ndoa yake juhudi zilifanyika kuwakimbiza hospt Mbozi mpaka sasa bado...
11 Reactions
141 Replies
18K Views
Habari za jioni wadau. Wadau kama heading inavyosema. Hii inawahusu watu wazima wanaojitambua. Mashoga, Vicheche, Wasagaji, Unsound mind, Haiwahusu. Ukiona umefika 30 na hujaoa wala kuolewa na...
0 Reactions
163 Replies
23K Views
Kwema wanajamvi wa MMU? Leo naleta mjadala kuhusu suluhu ya mateso yanayosumbua mahusiano yetu ya ndoa, uchumba, na uhusiano kwa ujumla. Mateso hayo huchochewa na hali nyingi zinazopelekea...
1 Reactions
6 Replies
5K Views
Kila msichana ninayekuwa na mahusiano nae kimapenzi tukiachana anafanya mambo kwa hasira na jazba. - Wakwanza kuwa nae baada ya kuachana nae alibeba mimba ili kunikomoa. - Wa pili aliamua kutoka...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Siku hizi ndoa nyingi zimekuwa na matatizo lukuki mpaka hakuna heshima ya ndoa tena. Wanandoa wanachepuka kila siku mpaka mtu unajiuliza kwanini watu wanaamua kuoana. Wanandoa wanaachana kila...
3 Reactions
68 Replies
8K Views
Mwanamke aliyeolewa ni msaidizi wa mume wake, kuhakikisha amempikia mumewe,amemfulia, na mumewe akitoka kazini akili zake zote ziwe kwake, amuhudumie kwa kila kitu akisimama katika nafasi yake...
16 Reactions
45 Replies
7K Views
Na binadamu kuwa hawayani kuna wakati unajiuliza maswali na kukosa majibu wakati wengine wakikesha kwa mitume na manabii huku wengine kwa waganga wa kienyeji na wengine wakipoteza pesa pesa nyingi...
0 Reactions
23 Replies
6K Views
Hakuna kitu bora kama kumrithisha mtoto vitu bora na hasa nidhamu ya kutunza pesa na uwezo wa kusoma vitabu na kutunza pesa kupitia KIBUBU Bank hii hutumika kumfunzia mtoto jinsi ya kusave Pesa...
8 Reactions
7 Replies
2K Views
Poleni kwa majukumu ndugu zangu. Mi ni msichana niko kwenye mahusiano na mwanaume mmoja. Lakini simuelewi kabisa maana hataki tuitane majina kama baby, dear, sweet nk. Yaani anataka tuwasiliane...
1 Reactions
209 Replies
20K Views
Jamaa kapata demu wa kizungu hapa TZ, Huyo mzungu ni hawa wanaokuja kama ma-volunteer kwenye vituo vya kulea watoto yatima...Demu kampenda sana chalii wakapanga waende majuu..Kila kitu...
5 Reactions
12 Replies
2K Views
Vijana wengi wanalalamika na wanashindwa kuelewa kuwa maisha ya leo yanaendeshwa na dhana kubwa ya nipe nikupe, ikiwa na maana ukitaka mahusiano na mtu yoyote lazima uwe una kitu unampa na yeye...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Back
Top Bottom