KACHINJA
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 1,263
- 868
Umemtongoza msichana zaidi ya miaka miwili,anakataa tena muda mwingine alikuwa anawapa simu wanaume ambao alikuwa nao kuonyesha msisitizo kuwa hataki.
Inapofikia kugairi na kuacha kumfuatilia anakupigia simu na kukuambia nimekaa na kujiuliza nimeona kweli unanipenda kwahiyo ombi lako nimekubali.
Hivi ukichapa na kuacha kuna lawama?
Na hicho ndio kinachopelekea wasichana wengi kuwa mipira ya kona.