Je, Ni mke yupi atayaweza haya?

socket

JF-Expert Member
Nov 21, 2014
305
431
Namna ya kuwa mke mwema

1: Kuwa mnyenyekevu (usimjibu vibaya au kumpandishia sauti mume wako ni isahara ya kukosa heshima kwa mmeo MITHALI 15:1

2: Usitoe siri za ndani za udhaifu wa mume wako kwa watu wengine (marafiki, family) WAEFESO 5:12

3: Kamwe usimfananishe mume wako na wanaume wengine (mbona mume wa fulani yuko hivi au anafanya vile)

4: Hata kama huwapendi marafiki wa mume wako usigombane nao acha mume wako amalizane nao MITHALI 15:13

5: Usijisahau majukumu yako kwa mume wako hata kama una house girl (mume wako amekuoa wewe sio mfanyakazi) MWANZO 2:24

6: Kamwe usigawe majukumu ya maangalizi ya mume wako kwa mtu yeyote mfanya kazi afanye kazi nyingine zote ila mme wako ni majukumu yako WAEFESO 5:33

7: Kamwe usimlaumu mume wako kwanini amekuja nyumbani mikono mitupu mtie moyo kesho atapata TORATI 3:28

8: Jua kutumia pesa vizuri usiwe mharibifu na kutumia pesa ovyo za mume wako jasho la mume wako ni la thamani kupotea hovyo.

9: Usijifanye unaumwa kwa kumnyima kufanya tendo la ndoa na mume wako (mke na ampe mume haki yake mke hana amri juu ya mwili wake msinyimane) 1korintho 7:3-5

10: Usimjibu vibaya mume wako mbele ya watoto, wageni, au umati wa watu subiri mfike nyumbani chumbani ndipo mtatue matatizo yenu.

11: Hakikisha unaandaa mavazi ya mume wako kila siku na kabla hajatoka hakikisha smartness yake kabla hajatoka.

12: Usiwaache marafiki zako wa kike kua karibu zaidi na mume wako usiamini kila rafiki.

13: Usiharakishe kutoka bafuni wala kwa dressing table hakikisha uko vizuri siku zote maana huko nje mume wako anakutana na wanawake waliotumia muda wao bafuni na kwa dressing table (usijipambe jitunze)

14: Wazazi, marafiki, ndugu, hawana usemi wa mwisho kwa ndoa yako
wamuzi ni wewe na mumeo.

15: Usioneshe upendo kwa mume wako kwa wakati akiwa na kitu mheshimu na umti, kuwa mnyenyekevu na umpende hata kama unamzidi kipato LUKA 21:16

17: Usiwe busy kwa mume wako kumbuka anahitaji umsikilize uwe na mda kwa jili yake usiwe na ubize anapoongea na wewe acha unachofanya na umjibu usimjibu huku unaendelea na mambo mengine.

18: Kama umetowa wazo na likaleta mafanikio usijifanye unaakili kumzidi nyie ni teamwork.

19: Mwanamke mvivu hawezi kujali mume hawezi kujua kama mume wangu anahitaji kuoga kula n.k

20: Wanaume hawapendi uchafu hata kidogo kuwa msafi kuanzia mwonekano wako, jikoni, mpaka chumba cha kulala.

21: Kuwa mbunifu kwa mume wako vile vitu anavyopenda vifanye kwa ubunifu mkubwa na uvikuze siku kwa siku na asivyopenda viache Mara moja.

22: Usilazimishe mume wako afanye vile unataka hata kama ni vibaya usimuombe vitu vya gharama kuzidi uwezo wake.

23: Jua lugha ya kuzungumza na mumeo akiwa anahasira nyamaza au tumia polite language, (tafadhali, naomba, nisamehe, nakupena, asante)

24: Kuwa mkarimu kwa wageni wote, usibague upande wako.

25: Mpe glass ya maji mume wako baada ya kufika nyumbani kama ukaribisho, fanya hivyo hata kwa wageni waingiao na kutoka malongoni pako.

26: Usiwe na marafiki wenye mawazo hasi na mitazamo mibaya na tabia mbaya zisizofaa kuigwa.

27: Ndoa yako ni ya thamani kwa kadri unavyoithamini, iheshiimu na kuilinda

28: Uzao wa tumbo lako ni baraka kutoka kwa bwana wapende watoto wako na uwafundishe njia iwapasayo MITHALI 22:6

29: Hata kama umri umeenda na mmezeeka usipunguze na usiache majukumu yako kwa mme wako.

30: Mwanamke mwenye maombi ni ngao tosha ndani ya nyumba.Omba siku zote kwajili ya family yako, mume wako na watoto wako na watu wengine.

Ndoa na iheshimiwe na watu wote.
 
Namna ya kuwa mke mwema

1: kuwa mnyenyekevu ( usimjibu vibaya au kumpandishia sauti mme wako ni isahara ya kukosa heshima kwa mmeo MITHALI 15:1

2: usitoe siri za ndani za udhaifu wa mme wako kwa watu wengine (marafiki, family) WAEFESO 5:12

3: kamwe usimfananishe mme wako na wanaume wengine ( mbona mme wa fulan yuko hivi au anafanya vile )

4: Hata kama huwapendi marafiki wa mme wako usigombane nao acha mme wako amalizane nao MITHALI 15:13

5: usijisahau majukum yako kwa mme wako hata kama una house girl ( mme wako amekuoa wewe sio mfanyakazi) MWANZO 2:24

6: kamwe usigawe majukum ya maangalizi ya mme wako kwa MTU yeyote ....mfanya kazi afanye kazi nyingine zote Ila mme wako ni majukum yako WAEFESO 5:33

7: kamwe usimlaumu mme wako kwann amekuja nyumbani mikono mitupu mtie moyo kesho atapata TORATI 3:28

8: Jua kutumia pesa vizuri usiwe mharibifu na kutumia pesa ovyo za mme wako jasho LA mme wako ni LA thamani kupotea hovyo

9: usijifanye unaumwa kwaku mnyima kufanya tendo LA ndoa na mme wako (mke na ampe mme haki yake....mke hana amri juu ya mwili wake.....msinyimane) 1korintho 7:3-5

10: Usimjibu vibaya mme wako mbele ya watoto, wageni, au umati wa watu.....subiri mfike nyumbani chumbani ndipo mtatue matatizo yenu

11: Hakikisha unaandaa mavazi ya mme wako kila siku....na kabla hajatoka hakikisha smartness yake kabla hajatoka

12: usiwaache marafiki zako wa kike kua karibu zaid na mme wako usiamin kila rafiki

13: usiharakishe kutoka bafuni wala kwa dressing table hakikisha uko vizuri siku zote maana huko njee mme wako anakutana na wanawake waliotumia muda wao bafuni na kwa dressing table ( usijipambe jitunze)

14: Wazazi, marafiki, ndugu, hawana usemi was mwisho kwa ndoa yako
Wamuzi ni wewe na mmeo

15: Usioneshe upendo kwa mme wako kwa wakati akiwa na kitu mheshim na umtii, kuwa mnyenyekevu na umpende hata kama unamzidi kipato LUKA 21:16

17: Usiwe busy kwa mme wako kumbuka anahitaji umsikilize uwe na mda kwa jili yake usiwe na ubize anapoongea na wewe acha unachofanya na umjib usimjib huku unaendelea na mambo mengine

18: Kama umetowa wazo na likaleta mafanikio usijifanye unaakili kumzidi nyie ni teamwork

19: Mwanamke mvivu hawezi kujali mme hawezi kujua kama mme wangu anahitaji kuoga kula n.k

20: Wanaume hawapendi uchafu hata kidogo.....kuwa msafi kuanzia mwonekano wako, jikoni, mpaka chumba cha kulala

21: kuwa mbunifu kwa mme wako.......vile vitu anavyopenda vifanye kwa ubunifubmkubwa na uvikuze siku kwa siku na asivyopenda viache Mara moja

22: Usilazimishe mme wako afanye vile unataka hata kama ni vibaya......usimuombe vitu vya gharama kuzidi uwezo wake....

23: Jua lugha ya kuzungumza na mmeo akiwa anahasira nyamaza au tumia polite language , ( Tafadhali, naomba, nisamehe, nakupena, Asante)

24: kuwa mkarimu kwa wageni wote, usibague upande wako!

25: MPE glass ya maji mme wako baada ya kufika nyumbani kama ukaribisho.....Fanya hivyo hata kwa wageni waingiao na kutoka malongoni pako

26: Usiwe na marafiki wenye mawazo hasi na mitazamo mibaya na Tabia mbaya zisizo faa kuigwa

27: Ndoa yako ni yathamani kwakadri unavyoithamin, iheshiim na kuilinda

28:Uzao wa tumbo lako ni baraka kutoka kwa Bwana ....wapende watoto wako na uwafundishe njia iwapasayo MITHALI 22:6

29: Hata kama umri umeenda na mmezeeka usipunguze na usiache majukum yako kwa mme wako

30: Mwanamke mwenye maombi ni ngao tosha ndani ya nyumba....Omba siku zote kwajili ya family yako, mme wako na watoto wako....na watu wengine!



Ndoa na iheshimiwe na watu wote.


Mke huyu bado kabisa kuzaliwa, tuendelee kuvuta Subira ahahahhahhahah
 
Kwa vigezo hivyo na kizazi hiki ? labda ni Komando wa mapenzi ndio anatafutwa ,huyo atakua amevuka vizuizi vyote hadi kifo ,atapaa tu angani
 
namba 7 imekuwa janga kwakweli kina mama wanajisahau sana. ila inachangiwa na kinababa kuwaachia wake majukumu waliyopaswa kuyafanya wao
 
Kwa vigezo hivyo na kizazi hiki ? labda ni Komando wa mapenzi ndio anatafutwa ,huyo atakua amevuka vizuizi vyote hadi kifo ,atapaa tu angani
Uncleben huko kwenu naona akina mama yeyoo wako vizuri sana, kila wakipewa maagizo na waume zao wanaitikia...eeeeeeeeh hawawezagi kupinga
 
Back
Top Bottom