John W. Mlacha
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 3,504
- 1,341
Nusu SAA? Acha masikhara mkuu Dakika 3 nyingi kwa wanaume darsalamaKuna wadada walikuja hapa kulalamikia wanaume wa dsm kuwa hawafiki hata nusu saa.
Jaman acheni tu dk 45 kipaji km huna watafuta kifo
Mkuu kawaida kwako, wengine ni mtihani wa hesabu km si fizikiawewe dk 45 mbona kawaida tuu
Jaman acheni tu dk 45 kipaji km huna watafuta kifo
Thankx..I like the title of your post. Mengine ni kila mtu na lwake. Period!
stori za mitaani wanakuambia demu usipomsugua lisaa atakukimbia.. Siku nikamsugua demu madakika ya maana akakaa wiki hanitafuti anaugulia maumivuKwa stori za kijiweni hata miaka mitatu unaweza kukaa juu ya kinena, ila hali halisi hakuna hizo dakika 40 wala 15. Muda wa kawaida kwa binadamu kuvumilia ile hali ya mushawasha hauzidi dakika saba. Na hata ukifika huko unajitafutia michubuko isiyo ya lazima. As I said kwa storiza vijiweni unaweza kusema hata miaka ukitaka.
!!Nusu SAA? Acha masikhara mkuu Dakika 3 nyingi kwa wanaume darsalama
Kwa stori za kijiweni hata miaka mitatu unaweza kukaa juu ya kinena, ila hali halisi hakuna hizo dakika 40 wala 15. Muda wa kawaida kwa binadamu kuvumilia ile hali ya mushawasha hauzidi dakika saba. Na hata ukifika huko unajitafutia michubuko isiyo ya lazima. As I said kwa storiza vijiweni unaweza kusema hata miaka ukitaka.
afadhali umenisaidia...watakuja chips mayai kuipingaKuna wadada walikuja hapa kulalamikia wanaume wa dsm kuwa hawafiki hata nusu saa.
Wenzio walia wewe wacheka, hebu kuwa Na utu kidogo
wasameheni bure wenzetu wa dar,plz?ahahahaKuna wadada walikuja hapa kulalamikia wanaume wa dsm kuwa hawafiki hata nusu saa.
Brenda Ujue Nakutafuta...!!afadhali umenisaidia...watakuja chips mayai kuipinga
za kijiweni waachie wanao kaa vijiweniKwa stori za kijiweni hata miaka mitatu unaweza kukaa juu ya kinena, ila hali halisi hakuna hizo dakika 40 wala 15. Muda wa kawaida kwa binadamu kuvumilia ile hali ya mushawasha hauzidi dakika saba. Na hata ukifika huko unajitafutia michubuko isiyo ya lazima. As I said kwa storiza vijiweni unaweza kusema hata miaka ukitaka.