Timiza tendo la ndoa

Timiza tendo la ndoa

Goliath mfalamagoha

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2012
Posts
601
Reaction score
2,508
USICHEZE-CHEZE NA TENDO LA NDOA.

Kuna tofauti kubwa baina ya mwanamke na mwanamue wanapokuwa katika tendo la ndoa.

MWANAMKE:

1) Aibu huongezeka

2) Nguvu za mwili humuishia na mwili hulegea

3) Uwezo wa kufikiria huongezeka na kufika (to the maximum).

MWANAUME:

1) Aibu hutoweka kabisa

2) Nguvu za mwili huongezeka

3) Uwezo wa kufikiria(IQ) hushuka na kufikia zero! (hasa anapokuwa kileleni). Katika hayo kuna mambo tunajifunza:

a) Kumbe ndio maana Biblia inasema (mwanamume) aziniye na mwanamke hana akili kabisa; kwa sababu kimaumbile na kisaikolojia uwezo wa kufikiri hutoweka!

b) Kama mwanamke anakuwa na uwezo mkubwa wa kufikiria (to the maximum) na mwanamume akili na uwezo wa kufikiria vinashuka (to zero), bila shaka unaweza ukatambua kwa nini Samson “asingesalimika” kwa namna yeyote ile mbele ya Delila!

Nadhani wanaume tunapata somo letu hapa; “Mwanamke unaempa mwili wako kupitia tendo la ndoa, ikiwa ana nia mbaya ni rahisi mno kukumaliza kiulaini”. Katikati ya tendo hili (akili yako inapokuwa sifuri) unaweza kujikuta unakabidhi mshahara wote!

Unaweza kujikuta unaahidi kumnunulia gari wakati hata pikipiki imekushinda! Unaweza kuikana familia yako mchana kweupe! Na asikwambie mtu; “Ahadi unazozitoa katikati ya tendo hili zina nguvu kubwa kuanzia ulimwengu wa roho hadi katika fikra.

Ndio maana ukidakwa na ukajikuta umeropoka ahadi, ujue huo ni msala na hilo litakuganda mpaka ujute!”. Pengine la muhimu (kwa wote) ni kujitahidi kuheshimu miili yetu na inapotolewa kutumika basi iwe ni “sadaka ya amani na haki” kwa wale wa halali na wanaostahili
 
USICHEZE-CHEZE NA TENDO LA NDOA..!!
Kuna tofauti kubwa baina ya mwanamke na
mwanamue wanapokuwa katika tendo la ndoa.
MWANAMKE: 1) Aibu huongezeka 2) Nguvu za
mwili humuishia na mwili hulegea 3) Uwezo wa
kufikiria huongezeka na kufika (to the
maximum). MWANAUME: 1) Aibu hutoweka
kabisa 2) Nguvu za mwili huongezeka 3) Uwezo
wa kufikiria(IQ) hushuka na kufikia zero! (hasa
anapokuwa kileleni). Katika hayo kuna mambo
tunajifunza: a) Kumbe ndio maana Biblia
inasema (mwanamume) aziniye na mwanamke
hana akili kabisa; kwa sababu kimaumbile na
kisaikolojia uwezo wa kufikiri hutoweka! b) Kama
mwanamke anakuwa na uwezo mkubwa wa
kufikiria (to the maximum) na mwanamume akili
na uwezo wa kufikiria vinashuka (to zero), bila
shaka unaweza ukatambua kwa nini Samson
“asingesalimika” kwa namna yeyote ile mbele ya
Delila! Nadhani wanaume tunapata somo letu
hapa; “Mwanamke unaempa mwili wako kupitia
tendo la ndoa, ikiwa ana nia mbaya ni rahisi
mno kukumaliza kiulaiiiiiiiiiiiniiiiiiii”. Katikati ya
tendo hili (akili yako inapokuwa sifuri) unaweza
kujikuta unakabidhi mshahara wote! Unaweza
kujikuta unaahidi kumnunulia gari wakati hata
pikipiki imekushinda! Unaweza kuikana familia
yako mchana kweupe! Na asikwambie mtu;
“Ahadi unazozitoa katikati ya tendo hili zina
nguvu kubwa kuanzia ulimwengu wa roho hadi
katika fikra. Ndio maana ukidakwa na ukajikuta
umeropoka ahadi, ujue huo ni msala na hilo
litakuganda mpaka ujute!”. Pengine la muhimu
(kwa wote) ni kujitahidi kuheshimu miili yetu na
inapotolewa kutumika basi iwe ni “sadaka ya
amani na haki” kwa wale wa halali na
wanaostahili
Tabutupu
 
Tendo la ndoa ndipo dhambi ilipoanzia,ndipo palipowekwa gonjwa lisilotibika,ndipo kilipo chanzo cha uhai/uzao mpya na chanzo cha mauti pia,ndipo chanzo cha maanguko mengi duniani. Kwa kifupi kiroho..hapo ndipo ilipo uhai na mauti
 
Sawa tumekuelewa,ila in vyema ukiweka na reference ili tupate kujua zaidi. Kwa mfano hapo kweny kuongezeka kwa uwezo wa kufikiri kwa mwanamke ni utafiti wa kisayansi au vp
 
Du kuna ukweli ndio maana wengne humuita hata Malaya baby wanapokua akili Zero pale katii.
 
USICHEZE-CHEZE NA TENDO LA NDOA.

Kuna tofauti kubwa baina ya mwanamke na mwanamue wanapokuwa katika tendo la ndoa.

MWANAMKE:

1) Aibu huongezeka

2) Nguvu za mwili humuishia na mwili hulegea

3) Uwezo wa kufikiria huongezeka na kufika (to the maximum).

MWANAUME:

1) Aibu hutoweka kabisa

2) Nguvu za mwili huongezeka

3) Uwezo wa kufikiria(IQ) hushuka na kufikia zero! (hasa anapokuwa kileleni). Katika hayo kuna mambo tunajifunza:

a) Kumbe ndio maana Biblia inasema (mwanamume) aziniye na mwanamke hana akili kabisa; kwa sababu kimaumbile na kisaikolojia uwezo wa kufikiri hutoweka!

b) Kama mwanamke anakuwa na uwezo mkubwa wa kufikiria (to the maximum) na mwanamume akili na uwezo wa kufikiria vinashuka (to zero), bila shaka unaweza ukatambua kwa nini Samson “asingesalimika” kwa namna yeyote ile mbele ya Delila!

Nadhani wanaume tunapata somo letu hapa; “Mwanamke unaempa mwili wako kupitia tendo la ndoa, ikiwa ana nia mbaya ni rahisi mno kukumaliza kiulaini”. Katikati ya tendo hili (akili yako inapokuwa sifuri) unaweza kujikuta unakabidhi mshahara wote!

Unaweza kujikuta unaahidi kumnunulia gari wakati hata pikipiki imekushinda! Unaweza kuikana familia yako mchana kweupe! Na asikwambie mtu; “Ahadi unazozitoa katikati ya tendo hili zina nguvu kubwa kuanzia ulimwengu wa roho hadi katika fikra.

Ndio maana ukidakwa na ukajikuta umeropoka ahadi, ujue huo ni msala na hilo litakuganda mpaka ujute!”. Pengine la muhimu (kwa wote) ni kujitahidi kuheshimu miili yetu na inapotolewa kutumika basi iwe ni “sadaka ya amani na haki” kwa wale wa halali na wanaostahili
Well said
 
Back
Top Bottom