Nimezaa na mke wa Mtu

Freeland

JF-Expert Member
Jan 24, 2012
14,481
10,217
Topic: Nimempa Mimba mke wa mtu

Wadau,

Tangu nasoma sekondari miaka takribani 13 iloyopita huyu binti alikua ananipenda sana....Lakini mimi nilikua mwoga na sikuwa tayari kuwa nae kwenye mahusiano....Baada ya kumaliza kidato cha nne akawa ameenda nje ya nchi kwa masomo mengine...hatukuweza kuonana tena hadi miaka 2 iliyopita.Ambapo tulipoonana tayari alikuwa mke wa mtu na ana mtoto mmoja.....Tulipoonana tena huyu dada akaendelea kuwa too desperate kuonesha ananipenda sana...Mimi niliendelea kuwa resistant kwa kuheshimu ndoa yake....

Miezi mitatu iliyopita uzalendo ulinishinda.....Alikuja kunitembelea kwangu....Nikawa nimefanya nae mapenzi....sasa hivi ni mjamzito na ana mimba yangu.....Sasa wadau hapa ndo kuna ugumu kidogo...Ni mke wa mtu......amegoma kuitoa...anasema anataka damu yangu.......Mimi shida yangu kubwa ni kwamba sitaweza kuwa na connection ya wazi kumlea mtoto wangu...Nisahaurini nifanyeje hapa.
 
Kwanza, wee umezaa na mke wa mtu au umempa mimba mke wa mtu? SUbiri mtoto wa akizaliwa utajua la kufanya, sasa endelea kukata mauno tu bila ngoma.
 
Kwanza, wee umezaa na mke wa mtu au umempa mimba mke wa mtu? SUbiri mtoto wa akizaliwa utajua la kufanya, sasa endelea kukata mauno tu bila ngoma.

Nasikia kuna uwezekano wa mtu kupewa dawa ambayo itasababisha mimba kuharibika"""
 
Nasikia kuna uwezekano wa mtu kupewa dawa ambayo itasababisha mimba kuharibika"""

Wala usianze kufikiria mawazo hayo...

Kwanza kinachokufanya uweweseke ni nini?

Kama ulikuwa huitaji mtoto kwa nini ulidinyana pasipo na kinga?

Kwanza umejuaje hiyo mimba umesababisha wewe ilihali huyo ni mke wa mtu?

Mwanaume yoyote makini huwa hachomeki tu hovyo komeo lake kwa mwanamke....huwa anatambua kwanza mfumo wa mwanamke.
 
Una uhakika gani kuwa ni mimba yako...wakati yeye ni mke wa mtu!
 
Chukulia poa tu, isikuumize kichwa na wala usihesabu ni mtoto wako huyo.

Na siku wa kwako akijazwa, chukulia vilevile, 'poa tu'! Na uhesabu mtoto ni wako japo hukutia mimba.

Pamoja.
 
Una uhakika gani kuwa ni mimba yako...wakati yeye ni mke wa mtu!

Look here Majigo hana sababu yoyote ya kuniambia mimba ni ya kwangu kama sio yangu.Kimsingi haitaji msaada wowote kwangu...ana uwezo wake mzuri sana kimaisha...Kwa hio hana sababu ya kunidanganya mimi......ila ana sababu ya kumdanganya mme wake.
 
Last edited by a moderator:
Ahahahaaaaaaaa..

Dogo una-uhakika gani kuwa mimba ni yako?...kama ni ya mumewe yeye kakuambia ni yako unajuwaje?...na kwanin hukuvaa au kumvisha yeye ndomu?...mulilima wote mukapanda wote sasa jiandaeni kuvuna wote..usimletee mambo ya joto hasira hapa.

Pia kuhusu huyo mtoto kuzaliwa na wewe kukosa koneksheni na "mwanao"..tatizo nini?...subiri majirani watamwambia huyo mtoto kuwa wewe ni babake then akikufuata mpe pesa ya matumizi na mwambie amwambie babake mlezi kuwa wee ndio biological father wake.

Pia ukiona ni mbali saaaaaana kusubiria connection na mwanao kijachoooo...mwambie huyo mwasherati mwenzio kuwa "unamwambia mumewe wa ndoa kuwa mkewe ana mimba yako kama vip akuachie mkewe ulee mimba yako akizaa uchukuwe mwanao yeye abaki na mkewe au kaa vipi amwambie mkewe atoe mimba yako mapema kuepusha usumbuvu baadae.

Ukishindwa vyooooooteeee...futa namba yake ya simu, badili namba yako na email adress zako kisha hama mkoa au nchii kisha anza upya maisha yako.

Full of options ..you choose the best for you.

Ahahahaaa..thanks again.
 
Kitanda hakizai haramu bwana. Uhakika kuwa mimba ni yako ni nini? Au mumewe hayuko? Akili kwa kichwa.

Mkuu,Mwanamke ndiye anaeweza kujua mimba ni ya nani.....Kwangu mimi naona hana sababu ya kunidanganya kwamba mimba yangu na wakati si yangu.....Ila ana sababu ya kumdanganya mumewe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom