Vivac
JF-Expert Member
- Apr 12, 2015
- 475
- 479
Wasalaam vijana wenzangu.
Mada ilo hapo juu yahusika.
Katika ulimwengu huu ya science na technolojia, swala la kufanya ngono/ tendo la ndoa kabla ya ndoa limeonekana la kawaida sana.
Vijana tumehalalisha zinaa kama vile ni halali kwetu. Tumemsahau Mungu na kuona ni jambo la kawaida na Ni haki yetu kulifanya.
Pengine twaweza sema ni technolojia ya sasa ndo inatufanya hvo, lakini mbaya zaidi ni kwamba hata vijana waliokulia vijijini ambao kwa namna moja ama nyingne technolojia hii haijawafikia kwa kiasi kikubwa nao pia wamekuwa wahanga Wa hili tatizo sugu kuliko hata neno sugu lenyewe.
Ndio maana vijana wengi sasa hawana mpango Wa kuoana kwa sababu tendo lililokua likiheshimiwa na kusubiliwa hadi wakati Wa ndoa tu, sasa linapatikana kiholelaholela.
Ndoa nyingi hazidumu kwa sababu vijana wameondoa mibaraka ya Mungu kwenye ndoa zao wakati wa urafiki na uchumba. Ndio maana hata ndoa nyingi wanandoa hawaridhiki na mke/ mume katika ile Huduma kwa sababu wanalinganisha wenzi wao wa sasa na wa zamani,, ikitokea Wa zamani alikua akimridhisha sana, hapo ndipo sasa usaliti ama uchepukaji kwa lugha ya sasa huanzia.
Vijana, tukumbuke kuwa miili yetu Ni hekalu la Roho mtakatifu akaaye ndani yetu.
Tuvadilikeni na kumrudia Mungu maana saa yake ya kuhukumu ulimwengu yaja upesi...!!!!
Sasa, mada nahc imeeleweka. Jamani, tatzo liko wapi hata tushindwe kuvumilia hadi kwenye ndoa zetu??????