Kuna watu wananishangaza sana. Wakichoka kidogo utawasikia, eti oooh Leo nina stress sana... Hivi unajua maana ya Stress? Ngoja Leo nikwambie.
Imagine umekutana na Demu mkali njiani ukaamua...
Habari zenu wana JF,
Ni tumaini langu mu wazima wa afya!
Nimekutana na mtu akauliza swali mwenyewe nikakosa jibu.Kwa nini wanaume walio wengi chupi za kike kwao ni mwiko?
Utakuta kama imeanikwa...
Habari za mda huu wana jf, bila kupoteza muda naomba niende kwenye tatizo langu ambalo nahitaji ushauri wenu, nilipokua secondary form four nilikua na gf ambaye yeye alikua form three, kiukweli...
Kuna binti mmoja 24 yrs nimemtolea kishika uchumba kwao sasa pasaka nikammwambia sina kitu yeye kanijibu tusijuane tena sasa cha ajabu juzi alhamisi ananisumbua kwa meseji kuomba radhi ilihali...
AMEKUWA ORIGINAL
Najua unalalamika kuwa mumeo kabadilika sana sikuhizi, zamani hakuwa hiyo, alikuwa mtu mwema mwenye mapenzi, alikufungulia mlango wa gari kabla yeye hajaingia, alikusogezea kiti...
naona uzee unaninyemelea wandugu sina mshichana na wala sijawa na hisia za kuanza kutafuta na ki finacial nipo safi na kielimu pia ..but i realy dont know the age of getting marriage.. nakaribia...
Upo katika strong relationship na unampenda au umeoa Ila unakuja kufahamu kuna jamaa linakugongea unafanyeje baada ya kugundua na kujiridhisha kweli jamaa anakugongea Ila una ushahidi wa moja kwa...
Mambo rafiki
Kuna jambo huwa naona nakulisikia pia na wakati mwingine kunikuta hata mimi.. swala la wanaume kujisifia kumfanya mapenzi mwanamke....hivi najiuliza yafuatayo:
Ni...
Tunaendelea kuwaombea na kuwapa ushauri wanaume wa Dar, hizi junk food kama chips, burger, etc sio tu zinapunguza uwezo wako kwenye 6x6 bali zinafanya mtu awe mzembe mzembe.
Nawasilisha.
Ni mbinu ambayo nilipewa kitambo sana na MTAALAM mmoja wa mapenzi na ambayo kiukweli niliitumia hadi nikaja kumpata Shemeji yenu huyu lakini pia nimeweza kutokuwa mchoyo na nimewapa hadi Wanaume...
Salam,
Hivi nyie wadada siku hizi mmeingiwa na nini vichwani mwenu?
Yaani nimekutokea jana tu halafu leo unanitumia text eti una sh 40,000, like serious?
Kwa taarifa yenu kama mlikuwa hamjui...
NA: George Iron Mosenya
SEHEMU YA KWANZA
ILIKUWA yapata majira ya saa tatu na dakika zipatazo
kumi na mbili kwa mujibu wa saa yangu ya mkononi.
Nilikuwa nimegida chupa za pombe zipatazo tatu na...
Wana jamvi,
Nimesoma utafiti toka Chuo kikuu cha Wageningen nchini Uholanzi,watafiti hao wamegundua kua uvaapo soksi/mvaapo soksi miguuni wakati wa kugegedana hufanya mechi kua kalina ya muda...
Habari za wakati huu ndugu zangu wa Jamiiforums....ni matumaini yangu kuwa wote muwazima wa afya na wale ambao afya zina mushkeli...hakika mwenyezi Mungu yupo upande wenu.....
Leo ningependa...
Nkimuomba pesa anasema maneno mengi, wewe kila saa unaomba pesa, mbona wadogo zako hawaombi? , wewe ndo unajua kutumia?
Nmekaa mwezi mzima sjaomba anauliza, mbona siku hizi huombi pesa, unapata...
Sasa unaipiga picha maiti harafu unapost KWA Facebook au insta Hata jf!! Hivi unaona sawa KWELI kumpost marehemu KWA mitandao ya kijamii utakuta watu wamefikia hatua ya kupiga maiti ambayo IPO...
Siku za karibuni imekuwa ni kawaida sana kina dada kutovaa chupi kwa sababu mbalimbali.
Kwa wanaume kuna faida sana kutovaa chupi kuliko kuvaa chupi.
Chupi hubana via vya uzazi na kusababisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.