Kwanini mwanaume akishikwa makalio huwa anahamaki?

Kwanini mwanaume akishikwa makalio huwa anahamaki?

Papushikashi

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2016
Posts
11,584
Reaction score
14,365
Wa salaam, Binafsi nimekuwa nikijiuliza hivi kwanini mwanaume akishikwa au mfano mkiwa kwenye foleni ukamsogelea mwanaume sehemu ya nyuma ghafla huwa anashtuka?
 
Nijuavyo mimi katika hali yakawaida kabisa , mwanaume anapo tendewa kitu kama hicho huisi kufedheheshwa,kudhalilishwa,kudharaulika, namengine ambayo watakuja kujaza wajuvi zaidi....mungu alipo umba ali umba manamke na mwanamme , sasa mwanamme anapo tendewa yale ambayo ali paswa yeye amtende mwamke nilazima ata amaki.
 
umemjibu vizuri mkuu
 
Kama wew ni nesi wa kike ntakuruhusu unishike nikija kuchoma sindano
 
Mimi sijawaelewa yaani mwanaume mwenzangu aje tu na kuanza kunishika matako?, kitakachotokea hapo anayekijua ni Mungu tu, kama akitoka hai amshukuru Mungu
 
Mimi sijawaelewa yaani mwanaume mwenzangu aje tu na kuanza kunishika matako?, kitakachotokea hapo anayekijua ni Mungu tu, kama akitoka hai amshukuru Mungu
Mimi nasemea ile ya bahati mbaya, mfano mtu amekugusa bila hata yeye kujua
 
Kama we we ni mwanaume! Ulisha wahi kushikwa au kupapaswa kalio? Ulijisikiaje???
Wazungu tuu ndio kushikana kalio kwao wanaona ni kitu cha kawaida
 
Hata mke wangu anajua hawezi kunishika huko......! Na sehemu kubwa ya usingizi wangu huwa nalala kwa mgongo....! Hata ikitokea tu nikapulizwa na upepo lazima nizinduke hata kama niko usingizini....! But, Why? I strongly dislike the part to be touched with anything; except my hands while in the bathroom, my clothes, and water only....! I can get massage to any other part of my body, but not that one; even by my wife....!
 
Back
Top Bottom