Slaa alikuwa mstari wa mbele kukosoa chama chake kumkaribisha Lowassa kugombea kupitia Ukawa. Alifikia hatua ya kuomba vyama vidogo kumpa jukwaa ili awambie watanzania madhara ya chama chake cha zama kumpa nafasi mkongwe huyo wa siasa za nchi hii.
Siku moja akihojiwa na Star Tv aliulizwa kwa nini anaendelea kujihusisha na siasa wakati alisema amestaafu siasa? Alijibu kwamba Tanzania ni nchi yake na pindi akiona jambo aliendi vizuri hatakaa kimya bali atatoka hadharani na kukosoa kama haki yake ya kimsingi ya kutoa maoni.
Sasa lazima tumuulize, mbona yuko kimya? Au Zanzibar mambo yalienda sawa? Au aliogopa kuwakasilisha wale tunaoambiwa wanamfadhiri?