Orodha ya waliosomeshwa na serikali lakini hawataki kurudisha mkopo ili watoto wetu wasome

shikulaushinye

JF-Expert Member
Aug 29, 2014
828
456
Naazimia kuwafichua waliosomeshwa na serikali kwa pesa ya walala hoi lakini hawataki kurudisha, tunaomba tuwataje hapa na sehemu wanazo fanya kazi ili serikali ichukue hatua wakamatwe na ikiwezekana wafikishwe mahakamani.

1. Word vision wapo zaidi ya 100
2. UN wapo zaidi ya 20
3. UDSM wapo zaidi ya 2000
4. SUA wapo zaidi ya 1000
5. NACTE wapo zaidi ya 100
6. BODI YA MIKOPO wapo zaidi ya 120
7. BENKI KUU wapo zaidi ya 800
8.
9.
Majina nitawela kila baada ya muda leo naachia hapa.

Serikali itatumia data base za mifuko ya jamii kujua walipo wanaodaiwa, kwaani orodha ya wanaodaiwa ipo bodi ya mikopo, ila kujua km wameajiliwa ndiyo ilikuwa tatizo, sasa kupitia data base za NSSF, PPF, PSPF, NA NK wadaiwa wote watajulikana kama wana ajira au hapana.
 
Naomba moderator aniruhusu uzi huu uwe maalumu kuwafichua waliosomeshwa na serikali kwa pesa ya walala hoi lakini hawataki kurudisha, tunaomba tuwataje hapa na sehemu wanazo fanya kazi ili serikali ichukue hatua wakamatwe na ikiwezekana wafikishwe mahakamani.

1. Word vision wapo zaidi ya 100
2. UN wapo zaidi ya 20
3. UDSM wapo zaidi ya 2000
4. SUA wapo zaidi ya 1000
5. NACTE wapo zaidi ya 100
6. BODI YA MIKOPO wapo zaidi ya 120
7. BENKI KUU wapo zaidi ya 800
8.
9.
Majina nitawela kila baada ya muda leo naachia hapa.
Acha umbea wewe, tulipe kwani tulikopeshwa kwa raha? Mkopo gani kupata hadi upigwe mabomu? wakitaka tuwalipe waje nao tuwapige na mabomu ya machozi sio wanadai hela tu wakati kuna watu waliwatoa hadi ulemavu. Silipi ng'oooo hadi hela za escrow zirudi.
 
Tupe na orodha ya waliokula hela za EPA,ESCROW,MEREMETA,KAGODA,DEEP GREEN n.k na hawataki kuzirudisha ili zifanye mambo mengine ikiwa ni pamoja na kusomesha wengine.
hawezi,huu unafiki wa ccm kule zanzibar,umenisha nijengea sugu ya roho...mtoa mada anashindwa kukiona kibanzi katika jicho la serikali,anakimbilia kuja kuwaanika wanyonge uku akiacha wenye kusaza wakiwa huru mitaani!
 
Acha umbea wewe, tulipe kwani tulikopeshwa kwa raha? Mkopo gani kupata hadi upigwe mabomu? wakitaka tuwalipe waje nao tuwapige na mabomu ya machozi sio wanadai hela tu wakati kuna watu waliwatoa hadi ulemavu. Silipi ng'oooo hadi hela za escrow zirudi.
tena na unafiki aache,kama dhuluma ya kule zanzibar imepita bila kupigiwa kelele,yeye ni nani kuja humu na kutu payukia?eti nae anataka kutumbua majipu?
 
Acha umbea wewe, tulipe kwani tulikopeshwa kwa raha? Mkopo gani kupata hadi upigwe mabomu? wakitaka tuwalipe waje nao tuwapige na mabomu ya machozi sio wanadai hela tu wakati kuna watu waliwatoa hadi ulemavu. Silipi ng'oooo hadi hela za escrow zirudi.

Mkuu nipo na wewe bega kw bega kwa hili...tulipigwa mabomu ya kutosha...mm wananidai sijui 3m+ ila kulipa haki ya Mungu labda nione naingia mlango wa sero....wakitaka tulipe wafuasi wa ccm warudishe kwanza walizotuibia na ss tutalipa...vinginevo hawapati kitu kutoka kwangu...
 
Nyie hamna tofauti na wahujumu uchumi, safari hii mtalipa. majembe yupo njiani kila mwajiri amepeleka majina mtakutana na wito wa mahakamani. either ulipe au kifungi miezi 6. we subiri.
 
Huyu naye Ni msomi ! Sasa hapa umeandika nini ? CCM imetufikisha hapa tulipo products ndo Kama hawa. ??
"Hatma ya Zanzibar upo mikononi mwa CCM" Maalim Seif
 
Back
Top Bottom